johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kuna mshkaji wangu anafanya kazi pale nilimdadisi juzi anasema ni uzushi tu na wala hakuna kitu kama hicho.Kwan idadi ya zanzibar inaongezwa kwa hii ya bara na ndo tukapata 13??
Jaman mwenye ukaribu na hospitali ya mloganzila naomba aende akatafiti uwepo wa wagonhonjwa wa COVID 19 kisha aje aeleze kama ni uzushi au ni kweli kwan taharifa zaonyesha kuna wagonjwa kadhaa.
Please wadau walio na ukarib na uko waconfirm kama ni uzushi au??
Sent using Jamii Forums mobile app
"..Mgonjwa mpya aliyetoka uingereza..."Waziri wa afya Zanzibar mh Hamad Rashid amesema idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Zanzibar imeongezeka na kufikia Watatu.
Mgonjwa mpya ni mzanzibari aliyetoka nchini Uingereza.
Source ITV habari
Hawezi kukwambia ukweliKuna mshkaji wangu anafanya kazi pale nilimdadisi juzi anasema ni uzushi tu na wala hakuna kitu kama hicho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri wa afya Zanzibar mh Hamad Rashid amesema idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Zanzibar imeongezeka na kufikia Watatu.
Mgonjwa mpya ni mzanzibari aliyetoka nchini Uingereza.
Source ITV habari
Huko Uingereza aliambatana na akina nani?Hali zao zinaendeleaje?"..Mgonjwa mpya aliyetoka uingereza..."
Alafu ukiambia zuia watu wasiingie unajidai mbishi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka uponze watu badala ya kuchunguza unaweza kuambukizwa maana huu ni mgonjwa ambao unaambukiza harakaKwan idadi ya zanzibar inaongezwa kwa hii ya bara na ndo tukapata 13??
Jaman mwenye ukaribu na hospitali ya mloganzila naomba aende akatafiti uwepo wa wagonhonjwa wa COVID 19 kisha aje aeleze kama ni uzushi au ni kweli kwan taharifa zaonyesha kuna wagonjwa kadhaa.
Please wadau walio na ukarib na uko waconfirm kama ni uzushi au??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan idadi ya zanzibar inaongezwa kwa hii ya bara na ndo tukapata 13??