mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
We ungefurahi kubaki italy?Mimi nadhani wangebaki huko huko walipo.
Maana hata wakikaa karantini na ikigundulika wana corona basi lazma tujue ni janga letu hilo na Idadi ya wagonjwa itakuwa imeongezeka.
Sent using Jamii Forums mobile app
We ungefurahi kubaki italy?
Ndo hapo sasa Serikali inatakiwa isikimbie gharama.. iwaweke karantini kwa gharama za Serikali..Hata kama ni Watanzania, ukirudi nchi yoyote sasa hivi unakaa karantini siku 14.
😂😂😂 hii nchi bwanaHawa wageni wameachwa kwenye corridor sasa kama wamekuja na virusi si ndiyo vinasambaa holela.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe acha hela yenyewe ughaibuni ni ya kucheza upatu baada ya child benefits.Labda baadaye watasaididiwa na serikali maana kwa gharama hizo za hotel, ni wazi kuwa baada ya karantini mtu atajikuta anadaiwa fedha ambazo hawezilipa!
Mimi nadhani serikali itawasaidia maana kama mtu atakaa hotel kwa mfano ya TZS 100,000 kwa siku, kwa hiyo ni zaidi ya TZS 1.4 ukiweka na huduma zingine za chakula n.k.Wewe acha hela yenyewe ughaibuni ni ya kucheza upatu baada ya child benefits.
Quarantine zifanyike hospitali bhana...Wangepewa options kutokana na mifuko yao, Kariakoo zipo hotel za 25,000
Wapelekwe wodiniKwa hiyo wanataka hotel ya buku ndio itumike kwa karantini. Hao wana utani.
Ndio washakuja sasa, kama ni mimi nalala kwenye korido tuoneSafi. Kama hawawezi kujigharamia WASIJE.