Martin Kemosabe
Senior Member
- Jan 28, 2020
- 168
- 78
kwanini migogoro swan?Tutegemee migogoro mingi zaidi ndani ya familia
Umesahau labda huwa watoto hawapatani kabisa wao kwa wao, na wazazi na watoto kila kundi likilalamika kwa mwenzie, watoto kudai kunyimwa uhuru na wazazi kutosaidiwa kazi na kudharauliwa! Umesahau?kwanini migogoro swan?
Na wale last born wajiandae kutumwa sana kaka/zao walitoka Chuo.Tutegemee migogoro mingi zaidi ndani ya familia
Umesahau labda huwa watoto hawapatani kabisa wao kwa wao, na wazazi na watoto kila kundi likilalamika kwa mwenzie, watoto kudai kunyimwa uhuru na wazazi kutosaidiwa kazi na kudharauliwa! Umesahau?
Nadhani nilisahau,ila tutegemee hilo sana hasa kwa familia zetu zenye watu zaidi ya 7Umesahau labda huwa watoto hawapatani kabisa wao kwa wao, na wazazi na watoto kila kundi likilalamika kwa mwenzie, watoto kudai kunyimwa uhuru na wazazi kutosaidiwa kazi na kudharauliwa! Umesahau?
Japo pamoja na mtafaruko huo ila amani pia itakuwepoNadhani nilisahau,ila tutegemee hilo sana hasa kwa familia zetu zenye watu zaidi ya 7
Hahaha imagine hali izidi kuwa mbaya,tutangaziwe hata makazini tusiende sijui itakuaje?Yaani hapa tuko full, tunapishana tu. Kuna wakati najisahau nadhani niko kariakoo kumbe ni home.
Picha linaanza jana nimeenda nyumba flani nimekuta tv ila haijawashwa,nakuja nasikia kuwa Waya wa TV umechomolewa maana ugomvi umezidi kwahyo solution ni kukaa bila kuangalia TV.
Itakuwa hatari, lazima itaanza kuzuka migogoro ya kimaslahi. Huyu anataka kuangalia mieleka huyu anataka tamthilia. ππππHahaha imagine hali izidi kuwa mbaya,tutangaziwe hata makazini tusiende sijui itakuaje?
Unaona ππPicha linaanza jana nimeenda nyumba flani nimekuta tv ila haijawashwa,nakuja nasikia kuwa Waya wa TV umechomolewa maana ugomvi umezidi kwahyo solution ni kukaa bila kuangalia TV.
Haaaa haaaa hiyo itatokea sana kwa wapenda tamthilia vs wapenda habari n moviePicha linaanza jana nimeenda nyumba flani nimekuta tv ila haijawashwa,nakuja nasikia kuwa Waya wa TV umechomolewa maana ugomvi umezidi kwahyo solution ni kukaa bila kuangalia TV.
mpaka corona ipite itapita na mengi mbonaπUnaona ππ
kuyapata maisha haya si rahisi tenaNdivyo maisha yalivyokuwa kabla ya mkoloni raha sana.