Martin Kemosabe
Senior Member
- Jan 28, 2020
- 168
- 78
- Thread starter
- #21
Tahadhari kama zipi?Huu Ugonjwa Corona tiba yake kubwa ya kuutokomeza ni kuchukua tahadhari zinazotolewa mamlaka husika naomba waTanzania wenzangu tutii maelekezo hayo..
Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Africa
Sent using Jamii Forums mobile app