Huu Ugonjwa Corona tiba yake kubwa ya kuutokomeza ni kuchukua tahadhari zinazotolewa mamlaka husika naomba waTanzania wenzangu tutii maelekezo hayo..
Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Africa
Sent using
Jamii Forums mobile app