Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Yani hata picha za hayo makaburi hakuna!
Dah.. Watz mna matatizo makubwa sana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitamsahau huyo magufuli Mimi pamoja na watu wa bukoba.Mkuu wewe amini siku ukishuhudia ndio utajua jinsi huu ugonjwa ulivyo hatari jikinge Sana. Watu wanakufa Sana serekali ikishachukua ndio Bai Bai.
Kuna mda nilimfikiria Magufuli nikakosa jibu kwanini kuwe uficho kiasi hiki,
Kuna wawili mme alikufa akachukuliwa kesho yake mke nae kachukuliwa Kama hawana korona siwangewapa ndugu wazike. Na wangesema watu wangejihami maana Hawa watu wanaishi na watu.
nakwambia siku ukishuhudia ndio utaelewa kwanini mleta mada analalamika.
Yawezekana ni kweli maana hakuna takwimu zilizosahihi kutokana na maneno ya Magufuli. Anasema waliopona ni 100, ina maana wagonjwa ni zaidi ya 284 na waliokufa ni zaidi ya 11"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka
Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka
Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.
Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute
Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni
Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili
Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli
Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,
Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki
Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,
Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu
Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar
Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
Dogo wewe umefika kote huko?Tembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu
JamboMkuu, wewe umeshuhudia watu wakizikwa kwenye hayo makaburi au ni hisia tu? Watu wangapi? How ndugu zao wamemlalamikia nani? Kwamba milio ya ambulance ni ushahidi watu 'wengi' wanakufa?
Ni kweli Corona ni tatizo, lakini hatutaishinda kwa kutishana na kujazana hofu. Tutimize wajobu wetu kuishauri Serikali juu ya hatua za kuchukua kwenye mapambano haya huku kila mmoja wetu akichukua tahadhari. Uongo na vitisho kwa wananchi havina tija, vina madhara makubwa zaidi.
Kocha David mwamajaHii ni taarifa ya ovyo na ujinga kabisa, ebu tuondolee upuuzi wako.
Nani anae lalamika? huko unapopata pataja kuna uongozi wake kama kweli hii habari ya ukweli tutajie jina la Mtaa wanaozikwa watu.
Huko pia kuna raia wanaojitambua na kujua baya na zuri TUTAJIE MAJINA YA WATU WALIOKUFA NA KUZIKWA KIMYA KIMYA!! acha kabisa story zako za kijweni kuleta humu JF.
Tutajie nani ambae ndugu yake amezikwa kimya kimya, pia wanatoka mtaa gani? nani mjumbe wao wa washina?
Kwa jinsi ninavyo wajua mimi watanzania, kwa post habari picha na kurusha kwenye mitandao hizo picha zingezagaa kote tena kwa kasi ya 5G.
Ajali ya barabarani au mtu kafumaniwa na mke wa mtu raia wanarusha picha za kumwaga sembuse kifo cha corona ambayo ndiyo habari ya dunia!!!
Watanzania wenzangu CORANA IPO, TENA INAUA tuchukue taadhali.
Inawezekana pia anamaanisha kuwa hali ni mbaya na kwa kuwa hakuna dawa ya corona basi bora tutumie hata njia mbadala kujikinga.Mimi bado nina mshangao tu kuwa Rais amesema tujifukize sijui kawaza nini mheshimiwa
Jambo zito unatumia akili za makengeneza ku comment, unasema kuwa eti tutumie wajibu wetu kuishauri serikali.Mkuu, wewe umeshuhudia watu wakizikwa kwenye hayo makaburi au ni hisia tu? Watu wangapi? How ndugu zao wamemlalamikia nani? Kwamba milio ya ambulance ni ushahidi watu 'wengi' wanakufa?
Ni kweli Corona ni tatizo, lakini hatutaishinda kwa kutishana na kujazana hofu. Tutimize wajobu wetu kuishauri Serikali juu ya hatua za kuchukua kwenye mapambano haya huku kila mmoja wetu akichukua tahadhari. Uongo na vitisho kwa wananchi havina tija, vina madhara makubwa zaidi.
Ukweli unakuweka katika nafas ya kupambana na tatizo na sio kupata msaada world bank, jifunze kutumia mantiki
Upo kwenye baraza la mawaziri?Jambo zito unatumia akili za makengeneza ku comment, unasema kuwa eti tutumie wajibu wetu kuishauri serikali.
Magufuli anashaurika?
Anaongoza nchi kwa akili zake mwenyewe, hashauriani na Baraza la Mawaziri na Bunge liko mfukoni mwake.
Kagoma kui lockdown Dar, huyu ni Rais mpumbavu hasa anayependwa na wapumbavu wenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi saidieni kuficha mkidhani mtabaki na vyeo vyenu
Ambulance sio gari ya kubeba maiti."Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka
Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka
Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.
Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute
Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni
Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili
Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli
Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,
Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki
Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,
Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu
Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar
Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
Wajinga kama nyie ndio mnampa wakati mgumu kweli MeloJambo zito unatumia akili za makengeneza ku comment, unasema kuwa eti tutumie wajibu wetu kuishauri serikali.
Magufuli anashaurika?
Anaongoza nchi kwa akili zake mwenyewe, hashauriani na Baraza la Mawaziri na Bunge liko mfukoni mwake.
Kagoma kui lockdown Dar, huyu ni Rais mpumbavu hasa anayependwa na wapumbavu wenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu asiye na Imani huwezi kumuaminisha kwa picha...Mtu mwenye mtazamo wake ni kumuacha tu abaki hivyo hivyo...Maana amini amini nakuambia hata ukiweka picha atasema ni photoshop au imeeditiwa nk nk. Na sio vyote alivyoamini alishuhudia...Mtu akitoa ujumbe inatosha suala la kuamini au laa libaki kwa mpokeaji taarifa.Sasa wewe unaambiwa ni usiku sasa hata mtu atachukuaje picha ya kuibia bila ya flash
Leo usiku itabidi kuwahonga wahusika ili kuchukua picha kadhaa
Picha zipi zina leak? Yani kabisa kwa tz ya saaa hivi jambo kama hili litokee bila hata picha kuchuliwa? Watz wanavyopenda picha?Wewe unataka picha za makaburi ....watu wamefiwa wamewakilisha familia zao kuzika ..wameyashuhudia , hairuhusiwi kupiga picha na hata unaona picha zinazo leak zinachukuliwa kwa mbali......ila kama unataka kushuhudia wewe nenda tu pale makaburini wakianza kuzika wakiiita ndugu wewe jichomeke uende maana kuna marehemu wengi tu huwa wanazikwa bila uwakilishi wa ndugu hata mmoja ....watu huwa sio wengi wanaotaka kwenda ......
THIS ISSUE IS SERIOUS BROTHER
Sitamsahau huyo magufuli Mimi pamoja na watu wa bukoba.
Jinsi alivyosema serikali haikuleta tetemeko huku watu zaidi ya watu 20 warifariki na nyumba zaidi ya 10000 kubomoka.tena hakuishia hapo akasema bukoba kila kitu ni nyie katerero,MV bukoba, ukimwi na MTO ngono tena Kwa kejeli kuu.nilikuwepo uwanjan pale ihungo na niliondoka Kwa uzuni kuu huku nyumba yetu ikiwa imesambaratika kabisa
Wengi ndo tulijua huyu ni mtu wa aina gan.
Sasa mtaona na Corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
SASA hiyo ni asumption lakini nakuambia hivyo kwa kuwa nimeyashuhudia ....kuna picha chache zime leak wakizika lakini sio ustaarabu kuziweka nadhani ilichukuliwa video na mmoja wa ndugu ....ilikuwa usiku ....inasikitisha ..sio jambo tu la kufurahia kuangaliaPicha zipi zina leak? Yani kabisa kwa tz ya saaa hivi jambo kama hili litokee bila hata picha kuchuliwa? Watz wanavyopenda picha?
Sent using Jamii Forums mobile app