Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Yani hata picha za hayo makaburi hakuna!

Dah.. Watz mna matatizo makubwa sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe unataka picha za makaburi ....watu wamefiwa wamewakilisha familia zao kuzika ..wameyashuhudia , hairuhusiwi kupiga picha na hata unaona picha zinazo leak zinachukuliwa kwa mbali......ila kama unataka kushuhudia wewe nenda tu pale makaburini wakianza kuzika wakiiita ndugu wewe jichomeke uende maana kuna marehemu wengi tu huwa wanazikwa bila uwakilishi wa ndugu hata mmoja ....watu huwa sio wengi wanaotaka kwenda ......
THIS ISSUE IS SERIOUS BROTHER
 
Mkuu wewe amini siku ukishuhudia ndio utajua jinsi huu ugonjwa ulivyo hatari jikinge Sana. Watu wanakufa Sana serekali ikishachukua ndio Bai Bai.

Kuna mda nilimfikiria Magufuli nikakosa jibu kwanini kuwe uficho kiasi hiki,

Kuna wawili mme alikufa akachukuliwa kesho yake mke nae kachukuliwa Kama hawana korona siwangewapa ndugu wazike. Na wangesema watu wangejihami maana Hawa watu wanaishi na watu.

nakwambia siku ukishuhudia ndio utaelewa kwanini mleta mada analalamika.
Sitamsahau huyo magufuli Mimi pamoja na watu wa bukoba.

Jinsi alivyosema serikali haikuleta tetemeko huku watu zaidi ya watu 20 warifariki na nyumba zaidi ya 10000 kubomoka.tena hakuishia hapo akasema bukoba kila kitu ni nyie katerero,MV bukoba, ukimwi na MTO ngono tena Kwa kejeli kuu.nilikuwepo uwanjan pale ihungo na niliondoka Kwa uzuni kuu huku nyumba yetu ikiwa imesambaratika kabisa

Wengi ndo tulijua huyu ni mtu wa aina gan.

Sasa mtaona na Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka

Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka

Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.

Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute

Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni

Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili

Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli

Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,

Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki

Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,

Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu

Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar

Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
Yawezekana ni kweli maana hakuna takwimu zilizosahihi kutokana na maneno ya Magufuli. Anasema waliopona ni 100, ina maana wagonjwa ni zaidi ya 284 na waliokufa ni zaidi ya 11
 
Mkuu, wewe umeshuhudia watu wakizikwa kwenye hayo makaburi au ni hisia tu? Watu wangapi? How ndugu zao wamemlalamikia nani? Kwamba milio ya ambulance ni ushahidi watu 'wengi' wanakufa?

Ni kweli Corona ni tatizo, lakini hatutaishinda kwa kutishana na kujazana hofu. Tutimize wajobu wetu kuishauri Serikali juu ya hatua za kuchukua kwenye mapambano haya huku kila mmoja wetu akichukua tahadhari. Uongo na vitisho kwa wananchi havina tija, vina madhara makubwa zaidi.
Jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni taarifa ya ovyo na ujinga kabisa, ebu tuondolee upuuzi wako.

Nani anae lalamika? huko unapopata pataja kuna uongozi wake kama kweli hii habari ya ukweli tutajie jina la Mtaa wanaozikwa watu.

Huko pia kuna raia wanaojitambua na kujua baya na zuri TUTAJIE MAJINA YA WATU WALIOKUFA NA KUZIKWA KIMYA KIMYA!! acha kabisa story zako za kijweni kuleta humu JF.

Tutajie nani ambae ndugu yake amezikwa kimya kimya, pia wanatoka mtaa gani? nani mjumbe wao wa washina?

Kwa jinsi ninavyo wajua mimi watanzania, kwa post habari picha na kurusha kwenye mitandao hizo picha zingezagaa kote tena kwa kasi ya 5G.

Ajali ya barabarani au mtu kafumaniwa na mke wa mtu raia wanarusha picha za kumwaga sembuse kifo cha corona ambayo ndiyo habari ya dunia!!!

Watanzania wenzangu CORANA IPO, TENA INAUA tuchukue taadhali.
Kocha David mwamaja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi bado nina mshangao tu kuwa Rais amesema tujifukize sijui kawaza nini mheshimiwa
Inawezekana pia anamaanisha kuwa hali ni mbaya na kwa kuwa hakuna dawa ya corona basi bora tutumie hata njia mbadala kujikinga.
 
Mkuu, wewe umeshuhudia watu wakizikwa kwenye hayo makaburi au ni hisia tu? Watu wangapi? How ndugu zao wamemlalamikia nani? Kwamba milio ya ambulance ni ushahidi watu 'wengi' wanakufa?

Ni kweli Corona ni tatizo, lakini hatutaishinda kwa kutishana na kujazana hofu. Tutimize wajobu wetu kuishauri Serikali juu ya hatua za kuchukua kwenye mapambano haya huku kila mmoja wetu akichukua tahadhari. Uongo na vitisho kwa wananchi havina tija, vina madhara makubwa zaidi.
Jambo zito unatumia akili za makengeneza ku comment, unasema kuwa eti tutumie wajibu wetu kuishauri serikali.
Magufuli anashaurika?
Anaongoza nchi kwa akili zake mwenyewe, hashauriani na Baraza la Mawaziri na Bunge liko mfukoni mwake.
Kagoma kui lockdown Dar, huyu ni Rais mpumbavu hasa anayependwa na wapumbavu wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli unakuweka katika nafas ya kupambana na tatizo na sio kupata msaada world bank, jifunze kutumia mantiki

Umeelewa ulichojibu na ulielewa nilomjibu?
Endelea kuchukua tahadhari dhidi ya corona, usinichoshe na hisia zako bila kuelewa.
 
Hii ngoma bado mbichi sijui itafika kileleni lini
 
Jambo zito unatumia akili za makengeneza ku comment, unasema kuwa eti tutumie wajibu wetu kuishauri serikali.
Magufuli anashaurika?
Anaongoza nchi kwa akili zake mwenyewe, hashauriani na Baraza la Mawaziri na Bunge liko mfukoni mwake.
Kagoma kui lockdown Dar, huyu ni Rais mpumbavu hasa anayependwa na wapumbavu wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo kwenye baraza la mawaziri?
 
"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka

Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka

Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.

Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute

Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni

Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili

Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli

Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,

Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki

Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,

Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu

Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar

Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
Ambulance sio gari ya kubeba maiti.
Ambulance hupiga kelele pale tu inapowahi kuchukua mgoniwa mwenye hali mbaya au ikiwa imebeba mgoniwa mwenye hali mbaya.
 
Jambo zito unatumia akili za makengeneza ku comment, unasema kuwa eti tutumie wajibu wetu kuishauri serikali.
Magufuli anashaurika?
Anaongoza nchi kwa akili zake mwenyewe, hashauriani na Baraza la Mawaziri na Bunge liko mfukoni mwake.
Kagoma kui lockdown Dar, huyu ni Rais mpumbavu hasa anayependwa na wapumbavu wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga kama nyie ndio mnampa wakati mgumu kweli Melo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe unaambiwa ni usiku sasa hata mtu atachukuaje picha ya kuibia bila ya flash

Leo usiku itabidi kuwahonga wahusika ili kuchukua picha kadhaa
Mtu asiye na Imani huwezi kumuaminisha kwa picha...Mtu mwenye mtazamo wake ni kumuacha tu abaki hivyo hivyo...Maana amini amini nakuambia hata ukiweka picha atasema ni photoshop au imeeditiwa nk nk. Na sio vyote alivyoamini alishuhudia...Mtu akitoa ujumbe inatosha suala la kuamini au laa libaki kwa mpokeaji taarifa.
 
Wewe unataka picha za makaburi ....watu wamefiwa wamewakilisha familia zao kuzika ..wameyashuhudia , hairuhusiwi kupiga picha na hata unaona picha zinazo leak zinachukuliwa kwa mbali......ila kama unataka kushuhudia wewe nenda tu pale makaburini wakianza kuzika wakiiita ndugu wewe jichomeke uende maana kuna marehemu wengi tu huwa wanazikwa bila uwakilishi wa ndugu hata mmoja ....watu huwa sio wengi wanaotaka kwenda ......
THIS ISSUE IS SERIOUS BROTHER
Picha zipi zina leak? Yani kabisa kwa tz ya saaa hivi jambo kama hili litokee bila hata picha kuchuliwa? Watz wanavyopenda picha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitamsahau huyo magufuli Mimi pamoja na watu wa bukoba.

Jinsi alivyosema serikali haikuleta tetemeko huku watu zaidi ya watu 20 warifariki na nyumba zaidi ya 10000 kubomoka.tena hakuishia hapo akasema bukoba kila kitu ni nyie katerero,MV bukoba, ukimwi na MTO ngono tena Kwa kejeli kuu.nilikuwepo uwanjan pale ihungo na niliondoka Kwa uzuni kuu huku nyumba yetu ikiwa imesambaratika kabisa

Wengi ndo tulijua huyu ni mtu wa aina gan.

Sasa mtaona na Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyuu jamaa sijui anaroho ya aina gani angewapa ata matumaini lakini sio kejeli. Msaada kagoma kutoa nakuwapa MAUMIVU.
 
Picha zipi zina leak? Yani kabisa kwa tz ya saaa hivi jambo kama hili litokee bila hata picha kuchuliwa? Watz wanavyopenda picha?

Sent using Jamii Forums mobile app
SASA hiyo ni asumption lakini nakuambia hivyo kwa kuwa nimeyashuhudia ....kuna picha chache zime leak wakizika lakini sio ustaarabu kuziweka nadhani ilichukuliwa video na mmoja wa ndugu ....ilikuwa usiku ....inasikitisha ..sio jambo tu la kufurahia kuangalia
 
Back
Top Bottom