ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Mnaotaka ushahidi au picha kuthibitisha kuwa watu wanapuputika wasubiri. Si muda mrefu atazikwa nduguyo, rafiki au jirani katika mazingira tatanishi na hapo ndo utapata ushahidi!Nashangaa wanashindwa hata kunirekodi watoe ujumbe wa hali halisi Amana hospital
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo kwenye baraza la mawaziri?Jambo zito unatumia akili za makengeneza ku comment, unasema kuwa eti tutumie wajibu wetu kuishauri serikali.
Magufuli anashaurika?
Anaongoza nchi kwa akili zake mwenyewe, hashauriani na Baraza la Mawaziri na Bunge liko mfukoni mwake.
Kagoma kui lockdown Dar, huyu ni Rais mpumbavu hasa anayependwa na wapumbavu wenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM mmetufanyia vibaya sana was Tz mwaka 2015. Msirudie kosa hilo tena 2020!
Mkuu Yale makaburi ya Kinondoni yamejazwa na ndugu zako au watu unaowafahamu?Uchunguzi anza wewe kwenye kaya yako, majirani, ndugu, marafiki na wafanyakazi/waateja wako au madukani/sokoni unakonunua bidhaa iwapo kuna mwathirika au marehemu.
Mbona kila comment inasema ‘watakufa wengi’ kila mtu mbona anasema wale! Je member wa JF wana immunity ya kufa na corona? Tunakuwa wabinafsi sanaKama corona sio issue basi kiranja atarudi Dar.
Pia hii ya kuzika kimya kimya inaweza kuwa na ukweli kumbuka kiranja ni hapendi kulaumiwa.
Niliwahi sikia eti lisu angekufa angezikwa siku ileile.
Kwa namna ninavyo ona tutapoteza watu wetu.wengi sana.
Kitakacho tuokoa ni pale viongozi wakuu wa siasa watakapo anza kupukutika kwa corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada kama hii yako ni ngumu mno kuiamini, na wala haiingii kabisa akilini.
Kukiwa na ukweli wowte juu ya haya uliyoandika hapa, basi hakuna serikali iliyowekwa madarakani na wananchi. Badala yake, kutakuwa na kitu kingine kabisa ambacho sina jina la kukipa.
Kuleta mada kama hii, halafu pasiwepo na aina yoyote ya ushahidi unaoipa mada uzito, angalau hata wa kimazingira tu, ni kulifedhehesha hili jamvi la JF.
Hii ni hatari sana kama kuna aina yoyote ya ukweli kwenye mada yako.
Rais na amiri jeshi ameshatoa maelekezo ."Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka
Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka
Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.
Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute
Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni
Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili
Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli
Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,
Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki
Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,
Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu
Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar
Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
Ulishamsikia isis humu? Nilihoji January mkanipuuza na mods wakafuta Uzi.Mbona kila comment inasema ‘watakufa wengi’ kila mtu mbona anasema wale! Je member wa JF wana immunity ya kufa na corona? Tunakuwa wabinafsi sana
Hakuna anayekataa haya uliyoandika hapa. Inajulikana kuna watu waliofariki kwa ugonjwa huu na kuzikwa na serikali.
Je, huyo mwenyenyumba wako serikali haikumweka kwenye hesabu ya watu waliofariki tunaotangaziwa? Hapa ndipo penye utata.
Je, wapo watu waliofariki kwa ugonjwa huu na serikali haitaki wajulikane kuwa sababu ya vifo hivyo ni COVID-19?
km kututisha tu mmetuweza, ongezea na hizi za Ebola maana mmeshindwa kutupa za wanaozikwa hapo Kariakoo Boko, Bahari Beach eneo la kondo,Buza na MbweniView attachment 1427438
Ndipo tuelekeapo
Tutaongea lugha sahihi tu WHO imeshasema tunaficha vifo na maambukizikm kututisha tu mmetuweza, ongezea na hizi za Ebola maana mmeshindwa kutupa za wanaozikwa hapo Kariakoo Boko, Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni
View attachment 1428137
Hovyo kabisa. Mtoa mada kapendekeza uchunguzi ufanyike na serikali na vyombo vya habari. Unaropoka kama tabia yenu ya mtawala wa kiimlaMada kama hii yako ni ngumu mno kuiamini, na wala haiingii kabisa akilini.
Kukiwa na ukweli wowte juu ya haya uliyoandika hapa, basi hakuna serikali iliyowekwa madarakani na wananchi. Badala yake, kutakuwa na kitu kingine kabisa ambacho sina jina la kukipa.
Kuleta mada kama hii, halafu pasiwepo na aina yoyote ya ushahidi unaoipa mada uzito, angalau hata wa kimazingira tu, ni kulifedhehesha hili jamvi la JF.
Hii ni hatari sana kama kuna aina yoyote ya ukweli kwenye mada yako.
Unapoleta mada nzito kama hii, hupaswi kuachia wanaokusoma wakfanye 'homework'. Kama hulielewi hilo utakuwa umepungukiwa.Do your homework, umepewa pakuanzia tafuta ukweli ndugu sio unasema sio kweli bila uchunguzi,kwani hii ndio mara ya kwanza kwa serikali kusema uongo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi sasa tunatangaziwa kwamba watu 10 pekee ndio waliokwishafariki kutokana na COVID-19; lakini kwa mjibu wa yanayoandikwa kwenye mada hii, kuna watu wengi zaidi ya hao 10 ambao serikali imeamua kuchukua jukumu la kuwazika bila ya kushirikisha ndugu zao, ikiwa na maana kwamba kilichowaua ni COVID-19; lakini serikali haitaki ieleweke hivyo kwa sababu wanazozielewa wenyewe!Hakuwekwa Mkuu ,ningekuwa mmoja wa waliotakiwa kushiriki Mazishi yake lakini Mwili hawakupewa Ndugu na alizikwa na Serikal.
Wewe ni mpumbavu, heri yangu ninayeropoka. Shenzi kabisa.Hovyo kabisa. Mtoa mada kapendekeza uchunguzi ufanyike na serikali na vyombo vya habari. Unaropoka kama tabia yenu ya mtawala wa kiimla
Lkn pamoja fake IDs zote hizi mnashindwa kutuma hata picha tu za misiba"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka