Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Jambo zito unatumia akili za makengeneza ku comment, unasema kuwa eti tutumie wajibu wetu kuishauri serikali.
Magufuli anashaurika?
Anaongoza nchi kwa akili zake mwenyewe, hashauriani na Baraza la Mawaziri na Bunge liko mfukoni mwake.
Kagoma kui lockdown Dar, huyu ni Rais mpumbavu hasa anayependwa na wapumbavu wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo kwenye baraza la mawaziri?
CCM mmetufanyia vibaya sana was Tz mwaka 2015. Msirudie kosa hilo tena 2020!

Naona unaongea na katibu mwenezi kupitia Mimi.
 
Kama corona sio issue basi kiranja atarudi Dar.

Pia hii ya kuzika kimya kimya inaweza kuwa na ukweli kumbuka kiranja ni hapendi kulaumiwa.

Niliwahi sikia eti lisu angekufa angezikwa siku ileile.

Kwa namna ninavyo ona tutapoteza watu wetu.wengi sana.

Kitakacho tuokoa ni pale viongozi wakuu wa siasa watakapo anza kupukutika kwa corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchunguzi anza wewe kwenye kaya yako, majirani, ndugu, marafiki na wafanyakazi/waateja wako au madukani/sokoni unakonunua bidhaa iwapo kuna mwathirika au marehemu.
Mkuu Yale makaburi ya Kinondoni yamejazwa na ndugu zako au watu unaowafahamu?
 
Mleta mada hii ni muongo, kama zipo familia zimelalamika ni kupitia chombo au taasisi gani nchini.

Wewe kama nani na umekaa mnara gani juu ya Dar es salaam hadi kuyaona yoote haya kwa wakati mmoja.?

Acheni ujinga basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama corona sio issue basi kiranja atarudi Dar.

Pia hii ya kuzika kimya kimya inaweza kuwa na ukweli kumbuka kiranja ni hapendi kulaumiwa.

Niliwahi sikia eti lisu angekufa angezikwa siku ileile.

Kwa namna ninavyo ona tutapoteza watu wetu.wengi sana.

Kitakacho tuokoa ni pale viongozi wakuu wa siasa watakapo anza kupukutika kwa corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kila comment inasema ‘watakufa wengi’ kila mtu mbona anasema wale! Je member wa JF wana immunity ya kufa na corona? Tunakuwa wabinafsi sana
 
Do your homework, umepewa pakuanzia tafuta ukweli ndugu sio unasema sio kweli bila uchunguzi,kwani hii ndio mara ya kwanza kwa serikali kusema uongo?
Mada kama hii yako ni ngumu mno kuiamini, na wala haiingii kabisa akilini.
Kukiwa na ukweli wowte juu ya haya uliyoandika hapa, basi hakuna serikali iliyowekwa madarakani na wananchi. Badala yake, kutakuwa na kitu kingine kabisa ambacho sina jina la kukipa.

Kuleta mada kama hii, halafu pasiwepo na aina yoyote ya ushahidi unaoipa mada uzito, angalau hata wa kimazingira tu, ni kulifedhehesha hili jamvi la JF.

Hii ni hatari sana kama kuna aina yoyote ya ukweli kwenye mada yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka

Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka

Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.

Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute

Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni

Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili

Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli

Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,

Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki

Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,

Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu

Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar

Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
Rais na amiri jeshi ameshatoa maelekezo .
 
Mbona kila comment inasema ‘watakufa wengi’ kila mtu mbona anasema wale! Je member wa JF wana immunity ya kufa na corona? Tunakuwa wabinafsi sana
Ulishamsikia isis humu? Nilihoji January mkanipuuza na mods wakafuta Uzi.
 
Hakuna anayekataa haya uliyoandika hapa. Inajulikana kuna watu waliofariki kwa ugonjwa huu na kuzikwa na serikali.
Je, huyo mwenyenyumba wako serikali haikumweka kwenye hesabu ya watu waliofariki tunaotangaziwa? Hapa ndipo penye utata.

Je, wapo watu waliofariki kwa ugonjwa huu na serikali haitaki wajulikane kuwa sababu ya vifo hivyo ni COVID-19?

Hakuwekwa Mkuu ,ningekuwa mmoja wa waliotakiwa kushiriki Mazishi yake lakini Mwili hawakupewa Ndugu na alizikwa na Serikal.
 
km kututisha tu mmetuweza, ongezea na hizi za Ebola maana mmeshindwa kutupa za wanaozikwa hapo Kariakoo Boko, Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni
1587658256863.png
 
Mada kama hii yako ni ngumu mno kuiamini, na wala haiingii kabisa akilini.
Kukiwa na ukweli wowte juu ya haya uliyoandika hapa, basi hakuna serikali iliyowekwa madarakani na wananchi. Badala yake, kutakuwa na kitu kingine kabisa ambacho sina jina la kukipa.

Kuleta mada kama hii, halafu pasiwepo na aina yoyote ya ushahidi unaoipa mada uzito, angalau hata wa kimazingira tu, ni kulifedhehesha hili jamvi la JF.

Hii ni hatari sana kama kuna aina yoyote ya ukweli kwenye mada yako.
Hovyo kabisa. Mtoa mada kapendekeza uchunguzi ufanyike na serikali na vyombo vya habari. Unaropoka kama tabia yenu ya mtawala wa kiimla
 
Do your homework, umepewa pakuanzia tafuta ukweli ndugu sio unasema sio kweli bila uchunguzi,kwani hii ndio mara ya kwanza kwa serikali kusema uongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoleta mada nzito kama hii, hupaswi kuachia wanaokusoma wakfanye 'homework'. Kama hulielewi hilo utakuwa umepungukiwa.

Hakuna sehemu yoyote niliposema serikali haisemi uongo, again, that is a conclusion that make you look like..., (I almost wrote an unreasonable word, and I do not want to do that to you)! This is my first time reading you!
 
Hakuwekwa Mkuu ,ningekuwa mmoja wa waliotakiwa kushiriki Mazishi yake lakini Mwili hawakupewa Ndugu na alizikwa na Serikal.
Hadi sasa tunatangaziwa kwamba watu 10 pekee ndio waliokwishafariki kutokana na COVID-19; lakini kwa mjibu wa yanayoandikwa kwenye mada hii, kuna watu wengi zaidi ya hao 10 ambao serikali imeamua kuchukua jukumu la kuwazika bila ya kushirikisha ndugu zao, ikiwa na maana kwamba kilichowaua ni COVID-19; lakini serikali haitaki ieleweke hivyo kwa sababu wanazozielewa wenyewe!

Huku kuficha kunaisaidia serikali kwa vipi?
Na hawa raia wanaofichwa taarifa hizi, lakini huko mitaani wanaona hali halisi, waichukulie serikali kivipi? Kwamba inalinda maslahi ya wananchi?

Hizi taarifa zinazofichwa, huko baadae haziwezi kufichuka; na kama zitafichuka na ukweli ukawekwa wazi, tutaendelea kuisifu serikali yetu kwa kusimamia maslahi ya nchi yetu?
Kuna viongozi watakaotakiwa kuwa 'accountable'kwa upuuzi wa aina hii? Sasa hivi wao wanaamini watakuwa kwenye madaraka milele na hata ikilazimu kuondoka, watawaweka wanaowajua kuwa watalinda maslahi yao.

Maswali ni mengi.
 
"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka

Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka

Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.

Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute

Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni

Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili

Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli

Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,

Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki

Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,

Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu

Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar

Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
Lkn pamoja fake IDs zote hizi mnashindwa kutuma hata picha tu za misiba
 
Back
Top Bottom