Mkuu kama corona inakutisha kaa ndani acha kutisha watu.Huoni kwamba wewe ndiye mpumbavu kwa mawazo mgando kama hayo?
Watu wanaokufa kuna ndugu, rafiki au jamaa yako?Au ndio story za UNAAMBIWA?Unaambiwa na nani?Kwanini kila mtu anakuja na story za UNAAMBIWA?We mchawi umetumwa kuua watu, eeh? Unaambiwa watu wanakufa wewe unaleta ubishi, Bashite naye anadanganya shwaini wewe?
Anayetamani WaTz wafe humjui ?!. Anafanya nini kuwasaidia WaTz ?!
Odhis *
We kuna nduguyo, rafiki au jirani yako kazikwa huko?Mnaotaka ushahidi au picha kuthibitisha kuwa watu wanapuputika wasubiri. Si muda mrefu atazikwa nduguyo, rafiki au jirani katika mazingira tatanishi na hapo ndo utapata ushahidi!
unawezaje kumjua Mtu aliye na maambukizi na asiye na maambukizi?Hapahapa DAR Kuna mitaa ukipita hata hawajui Kama Kuna janga la Corona na wapo very comfortable na Hawana maambukizi at all
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unatumia nguvu kubwa sana kupinga?Watu wanaokufa kuna ndugu, rafiki au jamaa yako?Au ndio story za UNAAMBIWA?Unaambiwa na nani?Kwanini kila mtu anakuja na story za UNAAMBIWA?
Senti bai yuzingi tecno T301
Hakuna hata mtu mmoja atakuambia ndugu,jamaa au rafiki amekufa corona au anaumwa corona. Wote ni Story za UNAAMBIWA unaambiwa hahahahahahahMbona kila comment inasema ‘watakufa wengi’ kila mtu mbona anasema wale! Je member wa JF wana immunity ya kufa na corona? Tunakuwa wabinafsi sana
mkuu LILE NI FUTA TUU LINAYEYUKAMimi bado nina mshangao tu kuwa Rais amesema tujifukize sijui kawaza nini mheshimiwa
Wewe mbona hujafa?"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka
Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka
Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.
Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute
Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni
Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili
Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli
Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,
Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki
Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,
Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu
Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar
Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
Wala hujalazimishwa!Mimi bado nina mshangao tu kuwa Rais amesema tujifukize sijui kawaza nini mheshimiwa
We kafa ndugu yako?Au nawe una ushahid wa UNAAMBIWA?Omba Mungu afe ndugu yako kipindi hichi ndipo utaamini anayoyasema mleta Mada, naona unaubishi wa asili, sijui ulitaka akuletee video??
Jibu swali.Mbona unatumia nguvu kubwa sana kupinga?
Mkuu usibishe sana..weka akiba ya maneno.We kuna nduguyo, rafiki au jirani yako kazikwa huko?
Senti bai yuzingi tecno T301
Mpumbavu wewe!Kama huna ndugu au rafiki aliyekufa ni busara kufunga mdomo wako......
Hata kama uko kazini tumia busara ..watu wana machungu....
Mpumbavu wewe!
Hata mimi sijakutukana. Wasiwasi wako tu.Sijakutukana Lakini .....
Huo ndio upumbavu. Serikali inakuwepo kwa sababu zipi?Mkuu kama corona inakutisha kaa ndani acha kutisha watu.
Senti bai yuzingi tecno T301