Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

We mchawi umetumwa kuua watu, eeh? Unaambiwa watu wanakufa wewe unaleta ubishi, Bashite naye anadanganya shwaini wewe?
Watu wanaokufa kuna ndugu, rafiki au jamaa yako?Au ndio story za UNAAMBIWA?Unaambiwa na nani?Kwanini kila mtu anakuja na story za UNAAMBIWA?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Anayetamani WaTz wafe humjui ?!. Anafanya nini kuwasaidia WaTz ?!

Odhis *

Corona Ni Mimi na wewe. Kaa home. Fuata masharti. Kama kuna mtu kachukua Malory kukufunga na kamba Utoke. Usafiri. Usivae mask. Then utakuwa Sawa. Na Pole. Otherwise hata huku ulaya masharti Ni hayo anayowaambia waziri mkuu Toka kwa kuwa una ulazima wa kutoka. Safiri kama una ulazima. Mwisho wa siku Sio kiongozi atakayetuua Bali Ni mtu Kama wewe. Una access na taarifa Zote kuhusu corona Lakini unasubiri uambiwe na kusukumwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaotaka ushahidi au picha kuthibitisha kuwa watu wanapuputika wasubiri. Si muda mrefu atazikwa nduguyo, rafiki au jirani katika mazingira tatanishi na hapo ndo utapata ushahidi!
We kuna nduguyo, rafiki au jirani yako kazikwa huko?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Watu wanaokufa kuna ndugu, rafiki au jamaa yako?Au ndio story za UNAAMBIWA?Unaambiwa na nani?Kwanini kila mtu anakuja na story za UNAAMBIWA?

Senti bai yuzingi tecno T301
Mbona unatumia nguvu kubwa sana kupinga?
 
Mbona kila comment inasema ‘watakufa wengi’ kila mtu mbona anasema wale! Je member wa JF wana immunity ya kufa na corona? Tunakuwa wabinafsi sana
Hakuna hata mtu mmoja atakuambia ndugu,jamaa au rafiki amekufa corona au anaumwa corona. Wote ni Story za UNAAMBIWA unaambiwa hahahahahahah

Senti bai yuzingi tecno T301
 
"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka

Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka

Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.

Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute

Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni

Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili

Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli

Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,

Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki

Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,

Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu

Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar

Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
Wewe mbona hujafa?
 
Omba Mungu afe ndugu yako kipindi hichi ndipo utaamini anayoyasema mleta Mada, naona unaubishi wa asili, sijui ulitaka akuletee video??
We kafa ndugu yako?Au nawe una ushahid wa UNAAMBIWA?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
aiseeee !!
 

Attachments

  • Wagonjwa wa Corona Amana, Hospital kabla hawajatoroka wakimbeba mwenzao alief ( 600 X 480 ).mp4
    1.1 MB
Lisemwalo lipo ila watz wengi wapuuzi na wazushi sielewi wanafanya kwa nia IPI zaidi ya kuleta taharuki kwa jamii, Dar INA watu 5M+ hivi kabla ya corona watu walikuwa hawafi hivi population yote hio MTU kufa ni ajabu kuna magonjwa chungu nzima yanayoua watu ila sababu kuna corona basi kila kifo ni corona tuache upumbavu, na suala LA kuzika maiti na watu wa jiji ni kutokana na sababu hizi moja ni kweli vifaa vya kupima corona vipo kwa uchache hivyo sometimes they guess kwamba huenda corona anahusika pili wanazuia mikusanyiko ya mazishi ambayo ni hatari kwa kuenea kwa corona.
Watanzania tuko na mzaha sana huu ujinga utatucost corona tunaongelea kimasihara tujikinge jamani tuchukue tahadhari ndani ya family level kwenye jamii pia kipindi hichi panic ya kujaribu alternative tofouti ni sawa sijui kujifukiza n.k kwa sababu hakuna dawa hivyo kujiongeza kama jamaa wa Madagascar hakuna ubaya nashangaa wanaokejeli hivyo kwa kuwa hakuna dawa tufe sio au tusubiri mabeberu wapate dawa wakati wao hali tete paka wamepanic tujiongeze sisi kama sisi tuombe kila MTU na imani yake Mungu ni muweza ya yote atupe wepesi na kutuokoa na hili Janga.Amina
 
We kuna nduguyo, rafiki au jirani yako kazikwa huko?

Senti bai yuzingi tecno T301
Mkuu usibishe sana..weka akiba ya maneno.
Hili dude linapiga sii mchezo.
Kama wewe hujashuhudia basi mshukuru Mungu na mwombe azidi kukuepusha. Siasa haina nafasi kabisa kwa hili dude.

Niko mkoani huku..rafiki yangu aliumwa akapelekwa hosipitalini juzi asubuhi, jana ninapewa taarifa amefariki usiku wa kuamkia hiyo jana na amezikwa na manispaa saa moja asubuhi. Hakuna taarifa zaidi!

Tumebaki tumeduwaa na kujaribu tu kuunganisha doti bila jibu la uhakika.

Hali sio salama.
 
Siku hizi humu ndani kuna watu wako so immature.......Zamani kabla ya hizo instagram na tweet huku tulikuwa tunakata Issues kweli kweli , very serious , na mambo mengi muhimu yalianzia huku ...... leo mtu anaongea lugha chafu bila hata sababu yeyote ...
 
Back
Top Bottom