Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Tuliokuamini na kukutetea kwenye janga la Corona umetuangusha. Nimepoteza rafiki na ndugu kwa janga la Corona. Serikali chukueni hatua - JamiiForums
 
Tuliokuamini na kukutetea kwenye janga la Corona umetuangusha. Nimepoteza rafiki na ndugu kwa janga la Corona. Serikali chukueni hatua - JamiiForums
 
Nakubaliana na wewe mkuu, ukiangalia mada zote hizi tatu, kuanzia hii na zile alizorejea, yaani kufanya reference uandishi na maudhui ni ya mtu mmoja. Hapa kafungua akaunti mpya na lengo lake ni kuleta hofu na chuki kwa wananchi

Hivi corona iue watu wengi namna ibaki ni issue ya kuona yeye peke yake na kuposti JF? Huko Fb na Insta kungeshachafuka muda.

Moderators fanyeni kazi yenu, msiruhusu watu wajinga kama huyu mwanzisha thread kusambaza upuuzi kwa kuanzisha uzi mbambali na kujipa sapoti
 
Mbona hata yule mgonjwa wa mkoa wa Mara nasikia kafa ila taarifa ya wizara sijaisikia. Nasubiri waziri athibishe
Alikufa na kuzikwa kabla hata taarifa ya mwisho ya ummy so assumed kwenye vifo vilivyoongezeka aliwekwa pia.
Hope unamzungumzia kijana Wa mzee Hussein sokoni pale Musoma mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmhhhhh!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kila siku wanakufa mahospitalini kabla hata ya hiyo corona yenu!

Hao watu "wanaopukutika" kwa corona mbona siwaoni?

Hizo ambulance huwa zinapita mitaa gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Coronavirus ni ugonjwa mpya na baadhi ya wagonjwa wanaopata wanakufa lakini kinachochangia watu kufa kwa huu ugonjwa zaidi ni hali yake kiafya (uzito mkubwa, matatizo ya moyo, sukari, upungufu wa kinga....) na kikubwa zaidi huku kujistress na kustresiana kuhusu corona.
Stress inasababisha tunashusha kinga za miili na kuongeza nafasi ya kushambuliwa na hawa virus.
Pia tunapopata maambukizi au kuhisiwa/kujihisi kuwa na maambukizi na kushindwa kuishi kadri ya ushauri wa washauri wa afya ni mbaya zaidi

Corona ipo, tuchukue tahadhari na tupunguze kujitisha
 
Da mange kasema
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…