Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Mada kama hii yako ni ngumu mno kuiamini, na wala haiingii kabisa akilini.
Kukiwa na ukweli wowte juu ya haya uliyoandika hapa, basi hakuna serikali iliyowekwa madarakani na wananchi. Badala yake, kutakuwa na kitu kingine kabisa ambacho sina jina la kukipa.

Kuleta mada kama hii, halafu pasiwepo na aina yoyote ya ushahidi unaoipa mada uzito, angalau hata wa kimazingira tu, ni kulifedhehesha hili jamvi la JF.

Hii ni hatari sana kama kuna aina yoyote ya ukweli kwenye mada yako.
Tuliokuamini na kukutetea kwenye janga la Corona umetuangusha. Nimepoteza rafiki na ndugu kwa janga la Corona. Serikali chukueni hatua - JamiiForums
 
Mkuu, wewe umeshuhudia watu wakizikwa kwenye hayo makaburi au ni hisia tu? Watu wangapi? How ndugu zao wamemlalamikia nani? Kwamba milio ya ambulance ni ushahidi watu 'wengi' wanakufa?

Ni kweli Corona ni tatizo, lakini hatutaishinda kwa kutishana na kujazana hofu. Tutimize wajobu wetu kuishauri Serikali juu ya hatua za kuchukua kwenye mapambano haya huku kila mmoja wetu akichukua tahadhari. Uongo na vitisho kwa wananchi havina tija, vina madhara makubwa zaidi.
Tuliokuamini na kukutetea kwenye janga la Corona umetuangusha. Nimepoteza rafiki na ndugu kwa janga la Corona. Serikali chukueni hatua - JamiiForums
 
Mada kama hii yako ni ngumu mno kuiamini, na wala haiingii kabisa akilini.
Kukiwa na ukweli wowte juu ya haya uliyoandika hapa, basi hakuna serikali iliyowekwa madarakani na wananchi. Badala yake, kutakuwa na kitu kingine kabisa ambacho sina jina la kukipa.

Kuleta mada kama hii, halafu pasiwepo na aina yoyote ya ushahidi unaoipa mada uzito, angalau hata wa kimazingira tu, ni kulifedhehesha hili jamvi la JF.

Hii ni hatari sana kama kuna aina yoyote ya ukweli kwenye mada yako.
Nakubaliana na wewe mkuu, ukiangalia mada zote hizi tatu, kuanzia hii na zile alizorejea, yaani kufanya reference uandishi na maudhui ni ya mtu mmoja. Hapa kafungua akaunti mpya na lengo lake ni kuleta hofu na chuki kwa wananchi

Hivi corona iue watu wengi namna ibaki ni issue ya kuona yeye peke yake na kuposti JF? Huko Fb na Insta kungeshachafuka muda.

Moderators fanyeni kazi yenu, msiruhusu watu wajinga kama huyu mwanzisha thread kusambaza upuuzi kwa kuanzisha uzi mbambali na kujipa sapoti
 
Mbona hata yule mgonjwa wa mkoa wa Mara nasikia kafa ila taarifa ya wizara sijaisikia. Nasubiri waziri athibishe
Alikufa na kuzikwa kabla hata taarifa ya mwisho ya ummy so assumed kwenye vifo vilivyoongezeka aliwekwa pia.
Hope unamzungumzia kijana Wa mzee Hussein sokoni pale Musoma mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmhhhhh!!!!

Well According to My very credible source !!!! Raisi Magufuli akizungumza kwa Video conference kutoka Chato !!! Amepewa Ushauri na Kamati kuu Ya Covid19 Nchini Tanzania , inayoongozwa na Waziri mkuu Majaliwa kuwa the only Thing can save Tanzania Right now ni Herd immunity !!!! sorry kwa typo kwenye picture it’s Herd immunity “
.
.

Kwa Mapendekezo yao !!! Wanatumia Trick walioifanya Wingereza ikafail , ila wao wakkiamini Tanzania haita fail sababu wako na Jua la kutosha na Alternative medicine!!! .
.
.

Walichopendekeza Wataalamu wao since Hospital ziko out of Control , Wagonjwa wamejaa , Mochwari ndo usiseme !!!! basi Mgonjwa asiyeonesha Symptoms asiwekwe hospital !!! Warudishwe nyumbani miili yao ijitibishe yenyewe uku wakifata Ushauri wa kukaa juani na kujitibisha kwa Mitishamba !!!! .
.
.

Pia kuhusu risk ya wagonjwa hao kusambaza , Wamesema ni vizuri wagonjwa hao wasambaze huu Ugonjwa ili watu waupate , wapone na ugonjwa ukijirudia basi hauta kuwa na madhara , Antibodies zitakuwa strong !!! .
.
.

Kwa makadilio yao , Atleast watu 500,000 wanaweza fariki sababu ya Underlying medical Conditions !!! Na Taifa litabaki na watu Milion 50 strong !!! .
.
.

According to them in 3 months Tanzania Itakuwa na wagonjwa zaidi ya Milion 20 !!! But watakao kufa ni kama laki 5 tu !!! Hivyo kuachia Taifa la watu wenye Afya [emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]
.
.
Targeted Group la watu wanaoweza Kufariki ni HIV+ , Asthma , Diabetic, Cancer , Hight Blood Pressure , Wenye Magonjwa ya Moyo , Sikocell etc !!!!!!! .
.
.

So Hakuna Plan ya Kulock down !!! Plan ni Kuambukizana, ili wenye strong Immune system wasurvive !!!!! .
.
.

I rest my case !!!! Who are we decide wakukufa na Kupona ili kusave Economy [emoji2376][emoji2376][emoji2376] Kwanini tusitumie Nguvu kubwa kusave watu wote ??? Kwanini tusitengeneze Ventilator zetu ??? Kwanini tusishone PPE za kutosha??? Kwanini tusiwatoe hofu na kuwapa training ya kutosha wahudumu wa Afya [emoji2302][emoji2302][emoji2302][emoji2302]
.
.
Anyway with that said Hao watu Mnaozika Moshi kila siku , Dar , Tanga , Zanzibar , Mara , TABORA , Mwanza etc !!!! Ndo kwanza Safari Imeanza !!!!! Am so down right now [emoji27][emoji27][emoji27] Na hao 500,000 watakao fariki , mtatangaziwa ni watu 50 wamefariki !!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kila siku wanakufa mahospitalini kabla hata ya hiyo corona yenu!

Hao watu "wanaopukutika" kwa corona mbona siwaoni?

Hizo ambulance huwa zinapita mitaa gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Coronavirus ni ugonjwa mpya na baadhi ya wagonjwa wanaopata wanakufa lakini kinachochangia watu kufa kwa huu ugonjwa zaidi ni hali yake kiafya (uzito mkubwa, matatizo ya moyo, sukari, upungufu wa kinga....) na kikubwa zaidi huku kujistress na kustresiana kuhusu corona.
Stress inasababisha tunashusha kinga za miili na kuongeza nafasi ya kushambuliwa na hawa virus.
Pia tunapopata maambukizi au kuhisiwa/kujihisi kuwa na maambukizi na kushindwa kuishi kadri ya ushauri wa washauri wa afya ni mbaya zaidi

Corona ipo, tuchukue tahadhari na tupunguze kujitisha
 
Da mange kasema

Back
Top Bottom