babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Tatizo bavicha kutwa kuchwa mnawawazia mabaya watanzania. Dua zenu Mungu hatazikubali. Watanzania hawatakufa kama mnavyotamani. Bali hilo lichama lenu la kishetani ndilo litajifia lenyewe kwa watu kuwapuuzaTembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu
Tutaongea lugha moja tu hayo mengine yatie kwenye viroba kama kawaida yenuTatizo bavicha kutwa kuchwa mnawawazia mabaya watanzania. Dua zenu Mungu hatazikubali. Watanzania hawatakufa kama mnavyotamani. Bali hilo lichama lenu la kishetani ndilo litajifia lenyewe kwa watu kuwapuuza
Sent using Jamii Forums mobile app
Na haitampata. Bali tunaomba sana iwapate ninyi mnaowatamania mabaya wenzenuIkishampata yy alieko mafichoni ndio tutaelewana na itampata tu tunaomba sana iwe hivo
Mwanzo idadi ilikuwa inatajwa ndogo mnasema wanaficha, sasa hivi idadi inaongezeka mnasema wanatafuta misaada ya WB! Watanzania watu wa ajabu sana.Ninamashaka kama hii idadi ya wagonjwa inayotajwa sasa haina uhusiano wowote na tamko la WB la kukopesha nchi zilizoathirika zaidi na corona.
Godzilla umeanza vizuri ila ulipomalizia hapo sijui upo eneo gani. Mfano Dar ambulance zimekua nyingi mno tena landcruiser mpya mpya ila haithibitishi kuwa zinabeba wagonjwa wa corona lakini zipo nyingi na zinazunguka mno. Pili uwepo wa magari ya HUDUMA ZA MAZIKO za jiji zikizunguka zunguka jijini.Watu kila siku wanakufa mahospitalini kabla hata ya hiyo corona yenu!
Hao watu "wanaopukutika" kwa corona mbona siwaoni?
Hizo ambulance huwa zinapita mitaa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa zinapita ufipa na kuonekana na nyumbu tuuWatu kila siku wanakufa mahospitalini kabla hata ya hiyo corona yenu!
Hao watu "wanaopukutika" kwa corona mbona siwaoni?
Hizo ambulance huwa zinapita mitaa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi bado hujaanza kuogelea kwenda Mafia? Au unasubiri mpaka serekali iseme?Tutaongea lugha moja tu hayo mengine yatie kwenye viroba kama kawaida yenu
Kesho hainikuti hapa ni Mafia tuVipi bado hujaanza kuogelea kwenda Mafia? Au unasubiri mpaka serekali iseme?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi wa kimazingira ni vingora vya ambulance, kama unamatatizo ya kusikia tutakusamehe.Mada kama hii yako ni ngumu mno kuiamini, na wala haiingii kabisa akilini.
Kukiwa na ukweli wowte juu ya haya uliyoandika hapa, basi hakuna serikali iliyowekwa madarakani na wananchi. Badala yake, kutakuwa na kitu kingine kabisa ambacho sina jina la kukipa.
Kuleta mada kama hii, halafu pasiwepo na aina yoyote ya ushahidi unaoipa mada uzito, angalau hata wa kimazingira tu, ni kulifedhehesha hili jamvi la JF.
Hii ni hatari sana kama kuna aina yoyote ya ukweli kwenye mada yako.
Jana nilikua maeneo ya makaburi ya kondo, wale majirani walisema the same thing, ambulance zinakuja usiku zinazika wakimaliza wanapiga dawa magari na eneo lote walilokuwepo.Tembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu
Umeshatembelea utuletee ushahidi sisi matomaso kuamini Maneno matupu inakuwa ngumu sanaTembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu