Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Tembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu
Tatizo bavicha kutwa kuchwa mnawawazia mabaya watanzania. Dua zenu Mungu hatazikubali. Watanzania hawatakufa kama mnavyotamani. Bali hilo lichama lenu la kishetani ndilo litajifia lenyewe kwa watu kuwapuuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kila siku wanakufa mahospitalini kabla hata ya hiyo corona yenu!

Hao watu "wanaopukutika" kwa corona mbona siwaoni?

Hizo ambulance huwa zinapita mitaa gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Godzilla umeanza vizuri ila ulipomalizia hapo sijui upo eneo gani. Mfano Dar ambulance zimekua nyingi mno tena landcruiser mpya mpya ila haithibitishi kuwa zinabeba wagonjwa wa corona lakini zipo nyingi na zinazunguka mno. Pili uwepo wa magari ya HUDUMA ZA MAZIKO za jiji zikizunguka zunguka jijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meko yupo yupo tu nyie endeleeni kuwa eti nyie ni wanyonge sijaona mahali popote kuwa huu ugonjwa ni wakuua matajiri naona amewadaganya KAUGONJWA KADOGO nyie CHAPENI KAZI kama Kinjikitile Ngwale alivyotudanganya 1905 naona historia inajirudia.
 
"Dsm ni salama chapa kazi"

Nipo namtafuta aliyetoa aidia ya kupulizwa dawa dsm
 
Nitaamini kuwa ugonjwa huu ni tatizo dogo kama ningemwona Rais Magufuli Dar au Dodoma akiendesha vikao vya kila wiki vya Baraza la Mawaziri.

Vinginevyo lazima uwe mpumbavu sana kuamini kuwa unaweza kupona huu ugonjwa kwa kujifukiza tu mvuke!

Lazima mtu uwe na akili. Mtu anakuambia, we ingia tu ndani ya maji kuuvuka huu mto, ni maji mafupi lakini yeye hataki hata kupanda boti kuuvuka mtoto huo huo anaotaka wewe uuvuke kwa miguu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada kama hii yako ni ngumu mno kuiamini, na wala haiingii kabisa akilini.
Kukiwa na ukweli wowte juu ya haya uliyoandika hapa, basi hakuna serikali iliyowekwa madarakani na wananchi. Badala yake, kutakuwa na kitu kingine kabisa ambacho sina jina la kukipa.

Kuleta mada kama hii, halafu pasiwepo na aina yoyote ya ushahidi unaoipa mada uzito, angalau hata wa kimazingira tu, ni kulifedhehesha hili jamvi la JF.

Hii ni hatari sana kama kuna aina yoyote ya ukweli kwenye mada yako.
Ushahidi wa kimazingira ni vingora vya ambulance, kama unamatatizo ya kusikia tutakusamehe.
 
mimi nilishasema someone who calls himself or herself politician, dont give a https://jamii.app/JFUserGuide about a citizen welfare or citizen's life, yeye achote mapesa wafiche hela huko mabenki ya uswisi , na nyie muendelee kuongeza mapato, uumwe ufe they dont give a https://jamii.app/JFUserGuide about you a citizen ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu
Jana nilikua maeneo ya makaburi ya kondo, wale majirani walisema the same thing, ambulance zinakuja usiku zinazika wakimaliza wanapiga dawa magari na eneo lote walilokuwepo.

Lakini unafikiri wangeacha kuzika? Huoni wanasaidia kupunguza maambukizi?
 
Back
Top Bottom