Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Maji yameshamwagika mkuu, cha msingi ni kupambana na tatizo kwa sasa.
Sasa hata uwajibikaji wa viongozi wa juu? Ni kwanini Magufuli na baraza lake la Mawaziri wasijiuzulu?
 
Umeandika ki ushabiki sana.
Tena ulicho andika hakiakisi ukweli wowote.


Me ni mkazi wa Buza (kwa mparange ) hata siku moja (tangu janga liingie ) sijawahi shuhudia ambulance ikija na maiti kuzika pale makabulini.

Ama Dar kuna Buza nyingine zaidi ya hii ninayo ishi mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu
Mkuu ukienda usisahau picha hata moja
 
Mara ya mwisho lini?
Mara ya mwisho kuangalia takwimu zilionyesha hakuna mtu wa kuanzia mwaka 0 mpaka 19 aliyefariki kwa corona. Hivi hii haitakiwi kumaanisha kitu? Najua hii ni off topic ila how come kirusi kinachoitrick seli nyeupe na kujificha ndani mpaka immunity system haikioni kwa watu wa umri huo kwao iwe tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaokufa ni wengi sana aisee anakoongelea mfano Makaburi ya Kondo kila siku usiku wanazika zaidi ya watu wanne ......jana kuna mtu ndugu yao kazikwa pale Wachimbaji wakawaambia washazika zaidi ya 30 hadi jana ....sasa acha hayo makaburi mengine yakiwamo ya Mloganzila ...watu wanaotangazwa ni wale ambao ni public figure.
Lakini pia kuna kashfa ya watu wanaokufa kwa CONVID19 na ndugu zao wanafanya ujanja ujanja wanaachiwa wakazike wenyewe ......kuna ex IGP kapewa mke wake akazike na wengine wengine
Yani hata picha za hayo makaburi hakuna!

Dah.. Watz mna matatizo makubwa sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom