Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Maji yameshamwagika mkuu, cha msingi ni kupambana na tatizo kwa sasa.
Sasa hata uwajibikaji wa viongozi wa juu? Ni kwanini Magufuli na baraza lake la Mawaziri wasijiuzulu?
 
Umeandika ki ushabiki sana.
Tena ulicho andika hakiakisi ukweli wowote.


Me ni mkazi wa Buza (kwa mparange ) hata siku moja (tangu janga liingie ) sijawahi shuhudia ambulance ikija na maiti kuzika pale makabulini.

Ama Dar kuna Buza nyingine zaidi ya hii ninayo ishi mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu
Mkuu ukienda usisahau picha hata moja
 
Mara ya mwisho lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hata picha za hayo makaburi hakuna!

Dah.. Watz mna matatizo makubwa sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…