Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Wewe mbigwa, maiti zote za wanaokufa unaletewa kwenu kuzihakiki?
We MPUMBAVU inatakiwa ujibu swali ndio uniulize huo utopolo. Inawezekanaje kila mtu awe na ushahid wa KUAMBIWA?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Hata lile lory la manispaa lililoandikwa Dar City Council burial services sio la serikali, hata Kama Lina namba SU.

Ni la wahuni flani tu wameweka plate namba,, na wagonjwa waliopona ni wengi pia.

Taarifa za ongezeko zipuuzwe..
 
Zinapita mitaaninkwenu tu? Mbona sisi hatuzioni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana si mtaani kwetu, mtaani kwetu sijawahi kuziona ndg yangu uongo mbaya. Naziona barabarani tu. Mfano barabara ya Mwananyamala- Kinondoni, alafu barabara ya Kawawa kuelekea Keko mpk Tmk, maana ofc yangu ipo Chan'gombe. Ndiyo maana nikasema pamoja na idadi zake kuwa nyingi haithibitishi kuwa zinahudumia corona, kama umenielewa vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni dereva utanielewa, siku gari yako ikiwa na kasoro utawaona traffic police wengi sana. Sio kwamba siku zote hawapo la hasha unawaona sana kwasababu unakishtukia. Ambulance zipo vile vile tu ila sasa hivi kila ukiiona unaihusisha na Corona.
Prondo hukunielewa, nimesema zilikuwepo na kuna zingine mpya pamoja na magari ya huduma za maziko ila haithibitishi kuwa zipo kwaajili ya corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada kama hii yako ni ngumu mno kuiamini, na wala haiingii kabisa akilini.
Kukiwa na ukweli wowte juu ya haya uliyoandika hapa, basi hakuna serikali iliyowekwa madarakani na wananchi. Badala yake, kutakuwa na kitu kingine kabisa ambacho sina jina la kukipa.

Kuleta mada kama hii, halafu pasiwepo na aina yoyote ya ushahidi unaoipa mada uzito, angalau hata wa kimazingira tu, ni kulifedhehesha hili jamvi la JF.

Hii ni hatari sana kama kuna aina yoyote ya ukweli kwenye mada yako.
Happening now at Kondo bahari beach; merehemu wa watu tofauti kama 10 wanakuja kuzikwa hapa Kondo - JamiiForums
 
Mkuu, wewe umeshuhudia watu wakizikwa kwenye hayo makaburi au ni hisia tu? Watu wangapi? How ndugu zao wamemlalamikia nani? Kwamba milio ya ambulance ni ushahidi watu 'wengi' wanakufa?

Ni kweli Corona ni tatizo, lakini hatutaishinda kwa kutishana na kujazana hofu. Tutimize wajobu wetu kuishauri Serikali juu ya hatua za kuchukua kwenye mapambano haya huku kila mmoja wetu akichukua tahadhari. Uongo na vitisho kwa wananchi havina tija, vina madhara makubwa zaidi.
Happening now at Kondo bahari beach; merehemu wa watu tofauti kama 10 wanakuja kuzikwa hapa Kondo - JamiiForums
 
Mkuu usibishe sana..weka akiba ya maneno.
Hili dude linapiga sii mchezo.
Kama wewe hujashuhudia basi mshukuru Mungu na mwombe azidi kukuepusha. Siasa haina nafasi kabisa kwa hili dude.

Niko mkoani huku..rafiki yangu aliumwa akapelekwa hosipitalini juzi asubuhi, jana ninapewa taarifa amefariki usiku wa kuamkia hiyo jana na amezikwa na manispaa saa moja asubuhi. Hakuna taarifa zaidi!

Tumebaki tumeduwaa na kujaribu tu kuunganisha doti bila jibu la uhakika.

Hali sio salama.

Mkuu tupo kwenye epicenter kabisa. COVID-19 inaua mtu ambaye alishakuwa njiani. Magonjwa mengine na low immunity. At least mpaka Sasa. So usiongee as if ukipata umekufa. La msingi heri nusu Shari kuliko shari kamili.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
COVID-19 inaua mtu ambaye alishakuwa njiani. Magonjwa mengine na low immunity.
Umezungumza vyema.

Asilimia kubwa ya Watanzania tuko kwenye kundi hili.
Hii ni kutokana na UMASKINI wa mali na wa fikra.
Wasiwasi wangu uko hapo!

Tuendelee kuchukua tahadhari.
 
Back
Top Bottom