Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli ni chaguo la Mungu
Watanzania tuna vita kubwa na mabeberu
Tunajua ipo labda mtu akaze kichwa tuu
Tukaze kila kituMmh!! 😤
Tanzania yangu🇹🇿
Mungu aturehemu...
Vip! Kuhusu Barakoa😷
Pia wanakaza kichwa?
Hao ni wahuni kama wahuni wengineyeah ni kweli ipo ila hakuna direct flights from Tanzania to Denmark kwa nini wasiseme nchi walio conect?? walipo toka Tanzania? ??
^Chuo kimojawapo hapa nchini^!????Korona ipo, korona ipo, korona ipo nmerudia mara tatu
Nipo katika chuo kimojawapo hapa nchini,,asee kwanzia hii wiki malecture nmewaona wapo siriaz san kuhusiana na njia za kujikinga na korona ,,nmeanza kuona wanavaa mask,,,social distance imeanza kuzingatiwa vikali,,kusanitize vitu mbali mbali kama meza,kiti,ubao,,mpka laptop!
Hii kitu ipo viongozi wetu wameliweka kisiasa sana naona mkulu amewafunga midomo wasiweke ukweli anaona atakua ameonesha udhaifu san kwan yeye nd anaona ni kitu cha kumpa sifa kua ameimaliza korona
Mficha maradhi kifo humuumbua! Inasikitisha sana
Jihadhari sana na mtu yeyote anayeshinda kutwa kuchwa akieneza hofu isiyomantikifu (unreasonable fear) --- hakuna mchawi yeyote hata angekuwa na digrii 33 za freemason ama ugonjwa wowote hatari wa kufisha unaopaswa kuogopwa zaidi ya mtu wa sampuli hiyo. We don't want ^hofumen^ kwenye nchi yetu; but rather ^hopemen^Hili gonjwa mpaka lichomoke na mawaziri 6 hivi, manaibu waziri 9, wabunge 20, na makatibu wakuu 8. Ndio serikali yetu itapata akili.
Nchi hii raia akipiga kelele jambo lolote linalokandamiza, kama vile kodi kubwa, wale wenye misamaha ya kodi utawasikia wanapiga domo TULIPENI KODI KWAAJILI YA KUJENGA NCHI YETU, tulipe kodi vipi wakati nyinyi mna msamaha wa kodi? Huu si uboya.
Raia wa hali ya chini wasio na bima ya afya wala hela ya kununua panadol wakipiga kelele Corona ipo mtaani na inamaliza ndugu zetu, wale wenye bima za afya za kiserikali na misafara ya ulinzi, utasikia wanapiga domo CORONA NI GONJWA LA KISHETANI, TANZANIA HALIPO. Wakati serikali imejaa mashetani.
Wewe una Corona?Hili gonjwa mpaka lichomoke na mawaziri 6 hivi, manaibu waziri 9, wabunge 20, na makatibu wakuu 8. Ndio serikali yetu itapata akili.
Nchi hii raia akipiga kelele jambo lolote linalokandamiza, kama vile kodi kubwa, wale wenye misamaha ya kodi utawasikia wanapiga domo TULIPENI KODI KWAAJILI YA KUJENGA NCHI YETU, tulipe kodi vipi wakati nyinyi mna msamaha wa kodi? Huu si uboya.
Raia wa hali ya chini wasio na bima ya afya wala hela ya kununua panadol wakipiga kelele Corona ipo mtaani na inamaliza ndugu zetu, wale wenye bima za afya za kiserikali na misafara ya ulinzi, utasikia wanapiga domo CORONA NI GONJWA LA KISHETANI, TANZANIA HALIPO. Wakati serikali imejaa mashetani.
Ahsante kwa kunikumbusha.