Corona is a Mission but failed in Tanzania

ushashi

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
375
Reaction score
518
I have been keeping an eye on the current trend globally, I came to find something fishy is behind it.
The plan was to attack one giant but it backfired.

Secondly, it was to kill Africans by creating Fear among people and then introduce a vaccine that will easily control all. This thing has been achieved to many countries especially those that are controlled by Western regimes.

Tanzania is a stand-alone kind of Country where by the target is missed and the public is at easy and calm. Life is back to normal after the stopage of giving out Corona status statistics which has eradicated fear within the society.

Some neighbors in the North have been shouting to Tanzania to give out data for Covid19 but TZ had stood firm enough and it shows a green light.

Africa needs to wake up and see where we are being drugged by Western regime. Tanzania has done it.
 
COVID-19 ishaua wangapi Tanzania mpaka useme ni "FAILED MISSION"? Ishaondoka na vigogo kibao na makapela wengi tushawalaza "UNUNIO".

Ndio zenu mnaosema vitu vya China ni "FAKE". Sasa Corona nayo ni "MADE IN CHINA", tusubiri tuone. Na ubishi wa Rais wetu, nina amini majibu yatakua mazuri.
 
COVID-19 ishaua wangapi Tanzania mpaka useme ni "FAILED MISSION"??? Ishaondoka na vigogo kibao na makapela wengi tushawalaza "UNUNIO".

Ndio zenu mnaosema vitu vya China ni "FAKE". Sasa Corona nayo ni "MADE IN CHINA", tusubiri tuone.
Tangu mwezi March mnatuambia tusubiri tuone, na sasa nusu ya mwezi May imeshakatika!
 
Hao majirani wakae mkao wa kula wasubiri second wave third wave, maybe fourth wave. Wamefugia watu wao ndani wasiumwe na mdudu wa Corona, kitu ambacho kitakuja kuwa cost kwa namna moja au nyingine. At some point itabidi wafungiwe mipaka yao na kukaribisha watu wafanye biashara nchini mwao, wasipofungua uchumi ndio bye bye. Model ya kuweka watu quarantine haitaleta matunda maana watu hawawezi kupoteza wiki mbili za kukaa bure bila kufanya kazi yoyote.

Wakati wangetumia muda wa kupata wagonjwa wa aina mbali mbali na kufanya utafiti wa ugonjwa huo, wao wanawaficha watu wao na kueneza hofu. Ukifanya utafiti kwa mtu mwenye hofu HORMONES zao zitakupa majibu tofauti na yale unayoyataka.
 
The worst and most body malaise is FEAR. What President Magufuli is doing is giving hope to Tanzanians.

During the journey of life, everyone goes through times of failure, pain and suffering. However only those who have the guts to get up and continue with their journey, emerge victorious. That is the result of President Magufuli approach against COVID-19 pandemic.
 
Tusubiri mpaka lini sasa??
Acha ulofa, COVID-19 ishaua wangapi Tanzania mpaka useme ni "FAILED MISSION"??? Ishaondoka na vigogo kibao na makapela wengi tushawalaza "UNUNIO".

Ndio zenu mnaosema vitu vya China ni "FAKE". Sasa Corona nayo ni "MADE IN CHINA", tusubiri tuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Labda niawashauri Watanzania, acheni kujichokea kwa huo umaskini wenu, mnakata tamaa mapema sana, endeleeni kupambana, chukua tahadhari, acheni kusongamana kwenye vilabu vya pombe na machangu.
 
Hatupo Kenya mpo maskini mpaka mnapika mawe soon tutakuwa middle income.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo soon tutakua soon tutakua soon tutakua ni wimbo mumeimba sana, halafu nilishangaa sana kuona sehemu eti waziri mkuu wenu anasema kale kasafu kenu ka SGR Dar-Moro mpaka sasa ni 77%

Yaani mnavyojitutumua na kuhema na kutapatapa mpaka awamu ya tano inaisha hatamu ya kwanza hamna chochote mlichokamilisha cha kuonekana.

Awamu ya nne Kikwete aliwakimbiza kiana lakini kwa sasa naona ni mikwara na hasira tu hamna kitu, na ndio maana mnakua wakali kwa hili la corona, mnacheza tiki taka za mapaipai.
 
Siyo kwamba corona haipo ipo sana tu na jana tu nimemsikia waziri Ummy akitoa semina kwa wahudumu wa afya jamii watakaokuwa wakitoa elimu alisema kwa siku mbili tatu ni kana kwamba watu wamerelax hawachukui tahadhari, nadhani wanajiaminisha kana kwamba limeisha ila kubwa kinachotusaidia na hili ndiyo mara zote Rais amekuwa akilijenga kwenye akili za watu ni kuondoa hofu maana hofu ndiyo mbaya zaidi kwenye haya mapambano ingawa tahadhari zote ziendelee kuchukuliwa tutalishinda tu
 
Millitarydoctor,

Mkiacha ujuha tutaacha kuwasema, leo mumesongamana pale Namanga na corona mnataka muachiwe mje mtuambukize, kwenu huko mshajichokea na akukata tamaa mumeanza usanii wa kondoo na mapaipai badala ya kufanya kama mataifa yote duniani yanavyofanya kwa kufuata ushauri wa wataalam.

Nashukuru sana serikali yetu kwa kuwa wakali, mnapimwa mmoja baada ya mwingine, anayegunduliwa nacho anaachiwa arudi huko kwenu muendelee kuambukizana.
 
ushashi, Subiri machagadema yaje sasa!! maana mabwana wao wanaomba riport ya corona kama vile wanataka kuleta dawa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…