Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Kwasababu hatufanyi maamuzi magumu ya kuzuia watu kwenda katika nchi ziliozoathiriwa na ugonjwa wa Corona na pia kwasababu hatudhibiti wageni kuingia nchini hasa kutoka katika nchi zilizoathiriwa na ugonjwa huu,ni suala la muda tu kabla ugonjwa huu haujaingia rasmi hapa nchini.
Dunia,kama ilivyo hapa kwetu,tuko concerned zaidi na athari za kiuchumi zinazoweza kutokana na kuweka restrictions za watu pamoja na bidhaa kutosafiri/kutosafirishwa kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine worlwide mpaka hali iwe tete ndio tuchukue hatua kama ambavyo baadhi ya nchi kama Italy, France na Marekani walivyoonza kuchukua hatua baada ya kuona hatari inayowakabili.
Kwa hapa kwetu ni swala la muda tu janga hili litatia timu na kitachotokea na kushindwa kuudhibiti na itafika hatua watu watakimbia miji mikubwa na zaidi watu watakimbila vijjini wakiamini huko kutakuwa na nafuu ila wakianza kuugua watalazimika kurudi mijini kutafuta tiba ya dalili za ugomjwa huo.
Wamiliki,madereva na makonda wa daladala nchi nzima anzeni kuhifadhi pesa maana public transport ndio itakuwa sekta ya kwanza kuathirika kwani hakuna atakaekuwa tayari kujazana kwenye daladala huku kukiwa na tishio la corona.
Kasi ya kusambaa kwa ugonjwa huu si ya kupuuzia hata kidogo,
Mwenzako akinyolewa,wewe tia maji.