- Thread starter
- #21
Kumbe hao jamaa wanafanana!.
Kwa kiswahili wanasema wale wali waliwao ni wale wali wale wale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hao jamaa wanafanana!.
Kwani John , wewe hutaki?
Acha tu nikuokoeMkapa anapoelekea kutimiza mwaka 1 tangu kututoka yafuatayo ni baadhi ya mawaidha kutokea Mkapa foundation:
View attachment 1849562
1. Wanathamini msukumo wa Mama Samia kupambana na janga hili la Corona kisayansi
2. Wanathamini msukumo mpya wa serikali kuelekea chanjo
3. Wanaelezea umuhimu wa chanjo
4. Wanaelezea manufaa ya chanjo
5. Nk
Ikumbukwe wengi wa wanaopinga msukumo mpya wa serikali kuhusiana na Corona ikiwamo chanjo, pia ni katika wengi wa wale wanaopinga uwapo wa katiba mpya.
Tusaidiane kujua kinagaubaga. Hivi:
1. hawa wanaopinga jitihada za serikali kuhusu Corona zikiwamo kuchukuliwa kwa hatua kisayansi, hoja zao hasa ni zipi?
2. hawa wanaopinga uwepo wa katiba mpya hoja zao hasa ni zipi?
Kusema kweli ndugu zetu hatuwaelewi labda mtueleze wenyewe.
Ni kweli kabisa kwa dhati yenu kuwa hamjishangai?
Hoja zenu tafadhali.
Mkapa anapoelekea kutimiza mwaka 1 tangu kututoka yafuatayo ni baadhi ya mawaidha kutokea Mkapa foundation: