Corona: Kenya yaendelea kujichanganya, yajiandaa kuruhusu kufungua anga yake kuruhusu ndege za abiria

Corona: Kenya yaendelea kujichanganya, yajiandaa kuruhusu kufungua anga yake kuruhusu ndege za abiria

Si kwamba tunafungua airspace Kesho na kuanza kupokea wageni ni ile hali ya kujiandaa. Baada ya korona namna watu husafiri itabadilika sana kwa hivyo lazima mashirika ya usafiri ya anze kujiandaa mapema.
Airspace inafunguliwa kuanzia 17th May 2020, ndege zote zitaruhusiwa kutua JKIA, wacha kujaribu kupindisha ili kuficha aibu yenu baada ya kushindikana kwa mikakati yenu ya kujifungia ndani.
JKIA to resume passanger flights

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndye umechanganikiwa huelewi nini maana ya lockdown na inawezekana hata lugha huelewi vizuri. Wanazungumzia mipango kazi jinsi watakavyo fungua huduma za ndege. Wewe unasema wamechanganikiwa. Du huu si mweu anamcheka kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Airspace wanategemea kufungua wiki ijayo tarehe 17 May, hiyo mipangokazi imeshakamilika, maambukizi yamedhibitiwa?, Curfew zimekwisha?, Nairobi, Mombasa na sehemu zingine zilizopo chini ya Partial lockdown zimeshafunguliwa?
JKIA to resume passanger flights

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Screenshot_2020-05-13-10-57-58.png
 




Screenshot_2020-05-13-10-57-46.png
 

Attachments

  • Screenshot_2020-05-13-10-57-58.png
    Screenshot_2020-05-13-10-57-58.png
    43.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom