Corona: Kenya yaendelea kujichanganya, yajiandaa kuruhusu kufungua anga yake kuruhusu ndege za abiria

Si kwamba tunafungua airspace Kesho na kuanza kupokea wageni ni ile hali ya kujiandaa. Baada ya korona namna watu husafiri itabadilika sana kwa hivyo lazima mashirika ya usafiri ya anze kujiandaa mapema.
Airspace inafunguliwa kuanzia 17th May 2020, ndege zote zitaruhusiwa kutua JKIA, wacha kujaribu kupindisha ili kuficha aibu yenu baada ya kushindikana kwa mikakati yenu ya kujifungia ndani.
JKIA to resume passanger flights

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Airspace wanategemea kufungua wiki ijayo tarehe 17 May, hiyo mipangokazi imeshakamilika, maambukizi yamedhibitiwa?, Curfew zimekwisha?, Nairobi, Mombasa na sehemu zingine zilizopo chini ya Partial lockdown zimeshafunguliwa?
JKIA to resume passanger flights

Sent using Jamii Forums mobile app
 



 

Attachments

  • Screenshot_2020-05-13-10-57-58.png
    43.2 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…