Corona: Kenya yaendelea kuvurunda, mgonjwa mwenye Corona alazwa na kuchanganyika na wagonjwa wa kawaida bila kugundulika hadi alipokufa

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Mtoto wa miaka 6 aliyekufa kwa Corona Kenya Leo, alikua amelazwa katika ICU pamoja na wagonjwa wengine wa kawaida na kuhudumiwa na madaktari wa kawaida bila kujua kwamba alikua na maambukizi ya Corona hadi alipofariki.

Hali hii imesababisha madaktari na wauguzi wote waliomuhudumia kuwekwa chini ya karantini, na wagonjwa wote kuhamishiwa kwengine.

Huu ulegevu wa wakenya, ndio unaosababisha maambukizi kupanda sana na idadi ya vifo kuongezeka Kenya ukilinganisha na nchi Jirani. Swali la kujiuliza ni "Je kama madaktari wameshindwa kumgundua mgonjwa mwenye dalili zote akiwa Hospitalini, wanauwezo na weledi wa kupambana na hili janga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakwambia wagonjwa wanakuwa wengi sababu wanafanya mass test sio kwasababu ya uzembe wao

Mtoto wa miaka 6 aliyekufa kwa Corona Kenya Leo, alikua amelazwa katika ICU pamoja na wagonjwa wengine wa kawaida na kuhudumiwa na madaktari wa kawaida bila kujua kwamba alikua na maambukizi ya Corona hadi alipofariki.

Hali hii imesababisha madaktari na wauguzi wote waliomuhudumia kuwekwa chini ya karantini, na wagonjwa wote kuhamishiwa kwengine.

Huu ulegevu wa wakenya, ndio unaosababisha maambukizi kupanda sana na idadi ya vifo kuongezeka Kenya ukilinganisha na nchi Jirani. Swali la kujiuliza ni "Je kama madaktari wameshindwa kumgundua mgonjwa mwenye dalili zote akiwa Hospitalini, wanauwezo na weledi wa kupambana na hili janga?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwenyewe najisikia Hali isiyoelezeka...na nmeenda kazini fresh..sasa HV narudi zangu home..sijui nijiweke caranteen?
 
Back
Top Bottom