#COVID19 Corona: Maiti za Waafrika zitatapakaa mitaani – Melinda Gates

Badala kuwanza kwanza marekani, ambapo watu wanakufa kwa 100%
Hawa wazee mi nawashangaa sanaa kwanini wanahangaika sana na Afrika wakati now US ipo on top kwenye statistic, yani ni kama kuna matarajio zaidi walikuwa nayo kuhusu afrika na hii corona and still bado wanaona tunasurvive.
 
Mkuu upo sahii!
Nyuma ya maneno hayo kuna jambo kuu la kulifanyia uchunguzi
 
Labda kila familia yenye kumudu kununua ifanye hivyo na si serikali as serikali,..sidhani aisee..
Ukiongelea kitanda kimoja cha ICU chenye ventilator , Oxygen concentrator , monitor n.k bei inazidi hadi mil 200.. familia ngapi zinaafford mil 200??
 
Mkuu hayo ndio mawazo yangu, wanaweza kututabiria hivyo lakini wakajankushangaa Africa tuko shwary sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala kuwanza kwanza marekani, ambapo watu wanakufa kwa 100%
... ndugu kama Marekani ambao wamechukua kila aina ya hatua kujilinda vifo vimefikia 100% kama unavyodai wewe sisi tunaotegemea kudra za Mwenyezi Mungu itakuwaje? Hiyo ndio hofu ya wanaoona mbali! Corona Tanzania kwa tulipofikia ni rasharasha tu; masika bado!
 
Huyu mama naona kalewa utajiri, sasa kama waathirika ni wengi, basi death rate ingekuwa kubwa nayo, lisingekuwa jambo la kuficha namna hiyo.
 
Ventilators zinunuliwe za kutosha Tanzania, zisambazwe hadi hospitali za wilaya na vituo vya afya.
Tusipuuze maonyo yanayotolewa na tusifiche taarifa ee Tanzania.

Je ni wangapi wanafahamu kuzitumia hizo ventilators?
 
Mtu kakomaa Africa Africa wakati Kuna viinchi vipo Ulanya Maskini wakutupwa.Na mkumbushe Africa kuna Nchi nyingi sana Zingine ni tajiri na zimeendelea sana kama vile South Africa na Nigeria, Morocco ,Misri. Sasa wao wanadanywa Africa Hakuna barakoa. Mjulishe kuwa CNN na BBC wanamdanganya na ndiyo maana huwa hawaoneshi Picha za makao ya Nchi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…