#COVID19 Corona: Maiti za Waafrika zitatapakaa mitaani – Melinda Gates

#COVID19 Corona: Maiti za Waafrika zitatapakaa mitaani – Melinda Gates

Waungwana jitahidini kutafuta kilichopo nyuma ya Melinda &Billy Gate Foundation,kuhusu depopulation hasa Afrika!!!
Jaribuni kumtafuta (search) Dr Rashid A Butter kafunguka sana ,na bado anaendelea kufunguka zaidi.
Mtafuteni sana elimu.
Msione usoni wanacheka ,moyoni wananuna.
Wewe jamaa,hivi hujui ARV zinazotumia Tz zinadhaminiwa na hawa jamaa,? Wangekuwa na hiyo nia wangekata msaada yao halafu watu wafe kama kuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba zisambazwe kila kituo cha afya au siyo!!
Mind you setup ya ICU ventilator moja ni karibu dola 40,000 badilisha kwa pesa za madafu
Ventilators zinunuliwe za kutosha Tanzania, zisambazwe hadi hospitali za wilaya na vituo vya afya.
Tusipuuze maonyo yanayotolewa na tusifiche taarifa ee Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli mtu ukiwa na hela unaongea tuuuu utakavyojisikia😎😎😎
huyu mother ni tajiri ndio ila anaongea kama nani mpaka kujua hata idadi ya watu watakao fariki?
mother na utajiri wake atulie aache kujamba jamba kama ameliona hilo balaa
aje asambaze spray za mwili mzima kama anavyofanya rostam huku
 
Waungwana jitahidini kutafuta kilichopo nyuma ya Melinda &Billy Gate Foundation,kuhusu depopulation hasa Afrika!!!
Jaribuni kumtafuta (search) Dr Rashid A Butter kafunguka sana ,na bado anaendelea kufunguka zaidi.
Mtafuteni sana elimu.
Msione usoni wanacheka ,moyoni wananuna.
weka links mkuu kurahisisha mambo
 
Ngoja tuone kama sayansi na siasa zinaweza kupikwa katika chungu kimoja

SIASA
1) Hatuwezi kufunga mipaka bado hatujawa na hali mbaya kuhusu corona (VISA 5)

2) hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya corona nchi itakosa mapato ( VISA 12)

3) Hatuwezi kufanya lockdown watanzania wengi masikini ( VISA 20)

4) Fanye kazi corona ni kagonjwa kadogo msikiogope (VISA 25)

5) Jamani tuwe making local transmission imeanza hakikisha unanawa mikono Mara kwa Mara (VISA 56)

6) Tufanye Dua ya siku 3 ya kuliombea taifa lionadokane na virusi vya corona (VISA 147)

7) kuanzia sasa daladala zote level siti (VSA 200)

8) Kuanzia sasa kuvaa barakoa ni lazima (VISA 250)

Mwisho nashukuru sana virusi vya corona kufika Bungeni maana wangetuona sisi hatujui kunawa mikono lakini kwa kuwa na wao mjengoni virusi vimefika safi sana

Yani Bunge lilishindwa kumshinikiza raisi afunge mipaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bush, Obama, Bill Gates walishawahi kuzungumzia haya maradhi kabla ya kuripuka miaka kadhaa iliopita, na walisema kuwa yatauwa watu wengi sana, inamaana hapo marekani inajua inachokifanya, naskia Sweden [emoji1236] wameanza kupenyezwa Microchip ktk miili yao eti iwe ni chanjo ya magonjwa, na hii project itaendelea dunia nzima kwa nchi za ulaya na marekani nk itakua ni lazima ili kucontol watu wawafanye kama mazombi,

IVI MNAJUA ZILE MOVIES ZA MAZOMBI WANATOA ZILIKUA NA MAANA GANI?

Jibu linaanza na huu ugonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikusanyiko itawamaliza watanzania...na ilivyo na viburi corona ndio inawatafuta wajinga kama hao...
 
Back
Top Bottom