#COVID19 Corona: Maiti za Waafrika zitatapakaa mitaani – Melinda Gates

Tumeanza kufa leo?

Njaa, malaria, ebola, zika, hiv vinatufyatua maelfu kwa siku.

Hili litupite.
 
Gates foundation waliweka video YouTube mwaka mmoja uliyopita: yenye kichwa cha habari,kinachosema : simulation; Global Pandemic Flu, ikionyesha ndani ya miezi 6 itaua zaidi ya watu million 30, na itaanzia KUSINi mashariki mwa Asia
Link

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Naona tunachukuliwa kama sisi ndo maasirika wa kubwa wa janga la korona.
Nimekaa naangalia game linaishia wap


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haijalishi atakua anasema uongo au la,huyu mama na taasisi yake wajadiliwe.
Inaonekana kuna kitu kimefichwa nyuma ya hili janga.
 
Tusichoelewa ni kwamba huyu mama na ile foundation yao wanakuwaga na projects zao za vaccine,hizo kauli ni za kutu-press yaani kututisha ili waafrika wasiwe wabishi wakati wa vaccine
 
Tusichoelewa ni kwamba huyu mama na ile foundation yao wanakuwaga na projects zao za vaccine,hizo kauli ni za kutu-press yaani kututisha ili waafrika wasiwe wabishi wakati wa vaccine

Na kupitia hiyo Vaccination wanayotufanyia,wanajua nini kilichomo na matokeo yake na ndiyo maana wanapigia kelele sana hsaa afrika Kusini ya Jangwa la Sahara.
Hivi hatujiulizi tu ni kwanini wakkna mama wajawazito hulalimishwa chanjo? Katika Hosital na vituo vyote vya afya msisitizo ni huo!!!???
Hapa nawaomba waungwana na Serikali kwa ujumla waliangalie kwa makini suala hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…