Huu sio ugonjwa wa nchi maskini.Hali ni mbayaa....
Labda wa afrika tuwe naturally immunized from the virus..
The virus is f kng deadly in 24 hours SPAIN vifo Vipya 152.... Nchi nzima iko locked down...
Usifike tu!
Let us PRAY
Kuna mdosi moja alitoka kwao India na kujikuta akiugulia Rwanda, aliyekutwa na corona huko Kigali sio Mnyarwanda bali Raia wa Kigeni kutoka India.Huu sio ugonjwa wa nchi maskini.
Nchi maskini kupata huu ugonjwa ni kiherehere chao tu kutaka kujikomba kwa mabeberu.
India [emoji1128] ni nchi maskini na pia ni jirani wa karibu na China [emoji630], ila kwa kua sio mpango wa Mungu kwa nchi maskini kupata huu ugonjwa ndio maana mpaka leo hakuna ripoti hata ya mdosi mmoja kuugua hii gonjwa.
Do your research before going viral into social media, muhindi ndo kaugua Rwanda toka kwao India.Huu sio ugonjwa wa nchi maskini.
Nchi maskini kupata huu ugonjwa ni kiherehere chao tu kutaka kujikomba kwa mabeberu.
India [emoji1128] ni nchi maskini na pia ni jirani wa karibu na China [emoji630], ila kwa kua sio mpango wa Mungu kwa nchi maskini kupata huu ugonjwa ndio maana mpaka leo hakuna ripoti hata ya mdosi mmoja kuugua hii gonjwa.
ahahahaaàaserikali ifikirie kutumia magari ya washa washa kwa kumwaga dawa kusaidia kusafisha virus vya corona .
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi medicated soaps hazisaidii pia?Sanitizer Ni Aina ya kemikali inayotumika katika kuua vijidudu Kama bacteria, fangasi, virusi n.k. Hutumika pia maeneo mbalimbali Kama viwandani, hospitalini na hata kwenye maabara.
Sanitizer huwekwa michanganyiko mbalimbali ikiwemo marashi, rangi n.k. Component muhimu inayoua vijidudu Ni alcohol au ethanol. Kiwango Cha alcohol kinachoweza kuua vijidudu kwa ukamilifu Ni kuanzia asilimia sabini (70% vol aclohol). Kwa hiyo unapoenda kununua sanitizer Cha muhimu kuangalia ni kiwango Cha alcohol na si rangi Wala harufu (marashi) Wala Bei.
MAMBO YA KUZINGATIA KUHUSU SANITIZER
1. Sanitizer haifanyi kazi kwenye uchafu. Hakikisha unanawa mikono yako au kuosha sehemu unayotaka kusanitize na uikaushe kabla ya kuweka sanitizer.
2.Kama unatumia kwenye mikono hakikisha unaisugua kwa muda wa sekunde ishirini ili kuifanya ipenye vizuri kwenye viganja vyako.
3. Konyagi/ kvant/Kitoko haitoshi kusanitize mikono yako kwani kiwango chake Cha alcohol/ ethanol hakifiki asilimia 70. Nyingi Ni chini ya asilimia 40.
4. Sanitizer pekee haitoshi kuondoa virusi,kunawa mikono kwa sabuni na maji ya kutosha kunaweza kukusaidia kukuokoa wewe na familia yako.
View attachment 1388940
Sanitizer Ni Aina ya kemikali inayotumika katika kuua vijidudu Kama bacteria, fangasi, virusi n.k. Hutumika pia maeneo mbalimbali Kama viwandani, hospitalini na hata kwenye maabara.
Sanitizer huwekwa michanganyiko mbalimbali ikiwemo marashi, rangi n.k. Component muhimu inayoua vijidudu Ni alcohol au ethanol. Kiwango Cha alcohol kinachoweza kuua vijidudu kwa ukamilifu Ni kuanzia asilimia sabini (70% vol aclohol). Kwa hiyo unapoenda kununua sanitizer Cha muhimu kuangalia ni kiwango Cha alcohol na si rangi Wala harufu (marashi) Wala Bei.
MAMBO YA KUZINGATIA KUHUSU SANITIZER
1. Sanitizer haifanyi kazi kwenye uchafu. Hakikisha unanawa mikono yako au kuosha sehemu unayotaka kusanitize na uikaushe kabla ya kuweka sanitizer.
2.Kama unatumia kwenye mikono hakikisha unaisugua kwa muda wa sekunde ishirini ili kuifanya ipenye vizuri kwenye viganja vyako.
3. Konyagi/ kvant/Kitoko haitoshi kusanitize mikono yako kwani kiwango chake Cha alcohol/ ethanol hakifiki asilimia 70. Nyingi Ni chini ya asilimia 40.
4. Sanitizer pekee haitoshi kuondoa virusi,kunawa mikono kwa sabuni na maji ya kutosha kunaweza kukusaidia kukuokoa wewe na familia yako.
View attachment 1388940MKUU, HII SPIRIT HAIWEZI KUWA MBADALA WA HAND SANITIZER??????