Changanya na aloe vera uliyoblendView attachment 1391604HUU HAUWEZI KUWA NI MBADALA WA HAND SANITIZER????? Maana huku nanjilinji tunaweza pata hiyo tu.
Hiyo inaweza tumika..coz Ina 70% alcoholView attachment 1391604HUU HAUWEZI KUWA NI MBADALA WA HAND SANITIZER????? Maana huku nanjilinji tunaweza pata hiyo tu.
Hahaaa elimu ndugu huku mitaani wanauziana na vile vigel vya madukani ya vipodozi na wamevipandisha beiSanitizer Ni Aina ya kemikali inayotumika katika kuua vijidudu Kama bacteria, fangasi, virusi n.k. Hutumika pia maeneo mbalimbali Kama viwandani, hospitalini na hata kwenye maabara.
Sanitizer huwekwa michanganyiko mbalimbali ikiwemo marashi, rangi n.k. Component muhimu inayoua vijidudu Ni alcohol au ethanol. Kiwango Cha alcohol kinachoweza kuua vijidudu kwa ukamilifu Ni kuanzia asilimia sabini (70% vol aclohol). Kwa hiyo unapoenda kununua sanitizer Cha muhimu kuangalia ni kiwango Cha alcohol na si rangi Wala harufu (marashi) Wala Bei.
MAMBO YA KUZINGATIA KUHUSU SANITIZER
1. Sanitizer haifanyi kazi kwenye uchafu. Hakikisha unanawa mikono yako au kuosha sehemu unayotaka kusanitize na uikaushe kabla ya kuweka sanitizer.
2.Kama unatumia kwenye mikono hakikisha unaisugua kwa muda wa sekunde ishirini ili kuifanya ipenye vizuri kwenye viganja vyako.
3. Konyagi/ kvant/Kitoko haitoshi kusanitize mikono yako kwani kiwango chake Cha alcohol/ ethanol hakifiki asilimia 70. Nyingi Ni chini ya asilimia 40.
4. Sanitizer pekee haitoshi kuondoa virusi,kunawa mikono kwa sabuni na maji ya kutosha kunaweza kukusaidia kukuokoa wewe na familia yako.
View attachment 1391606
Na jee kama hauna hy Sanitizer siju. Ukinawa mikono na Sabuni haisaidiii!??? sabab si wote wenye uwezo wa kuimiliki au kuwa nayo hy Kemikal (Sanitizer)Kunawa maji na sabuni kinasaidia kupunguza maambukizi. Ndiyo maana tunashauriwa kunawa mikono kabla hujaweka sanitizer.
View attachment 1391604HUU HAUWEZI KUWA NI MBADALA WA HAND SANITIZER????? Maana huku nanjilinji tunaweza pata hiyo tu.
Kama huna, kunywa kilevi chenye asilimia zaidi ya hiyo 60 utakuwa safi.Na jee kama hauna hy Sanitizer siju. Ukinawa mikono na Sabuni haisaidiii!??? sabab si wote wenye uwezo wa kuimiliki au kuwa nayo hy Kemikal (Sanitizer)
Sent using Jamii Forums mobile app
Gongo nayo haifai?Sanitizer Ni Aina ya kemikali inayotumika katika kuua vijidudu Kama bacteria, fangasi, virusi n.k. Hutumika pia maeneo mbalimbali Kama viwandani, hospitalini na hata kwenye maabara.