Corona: Mapungufu na madhahifu ya Magufuli katika Mapambano dhidi ya Corona

Ukishaingiza neno la chini kwa chini, unatoa nafasi ya mtu kuzungumza lolote na utashindwa kumuomba akupe ushahidi, kwa sababu atakimbilia kujificha katika kichaka cha "chini kwa chini".

Sent using Jamii Forums mobile app

Yeah, but ndio ukweli.

Unless upo kwenye kona ya maana sana ndani ya jamii ya inteligensia.

Ila kama haupo huko, na uko makini upstairs, ni lazima kutupia dicho kwenye hiyo kona gizani.
 

Uropokaji wake wa kutafuta cheap popularity unatuletea matatizo, sasa yeye kama kagundua vifaa vibovu si angeita kikao cha baraza la mawaziri na wakakubaliana kukataza kuvitumia? Mbona jamaa hana staha na busara?

AFRICATECH
MAY 7, 2020 / 10:54 AM / UPDATED 23 MINUTES AGO
Africa disease centre rejects Tanzania's allegation that its coronavirus tests faulty

Giulia Paravicini
4 MIN READ

ADDIS ABABA (Reuters) - The head of the Africa Centres for Disease Control and Prevention on Thursday rejected an assertion by Tanzania’s president that coronavirus tests it supplied are faulty.


John Nkengasong, Director of the Africa Centres for Disease Control and Prevention attends a news conference on the Africa Centres for Disease Control and Prevention Ebola Response in the Democratic Republic of the Congo (DRC) at the United Nations in Geneva, Switzerland, May 22, 2018. REUTERS/Denis Balibouse/File Photo

Tanzania’s government spokesman said a team was conducting investigations on the laboratory that conducted the tests, and the outcome will be made public once complete. The World Health Organization expressed confidence in the tests.

On Sunday, Tanzanian President John Magufuli said the imported test kits were faulty after they had returned positive results on a goat and a pawpaw - among several non-human samples submitted for testing, with technicians left deliberately unaware of their origins.

The next day, the head of the national health laboratory in charge of testing was suspended. The president did not say why the authorities had been initially suspicious of the tests.

“The tests that Tanzania is using, we know they are working very well,” John Nkengasong told journalists.
The Africa CDC, along with the Jack Ma Foundation, a charity founded by the Chinese billionaire, supplied the tests, Nkengasong said.

Ma, founder of Alibaba Group, has donated thousands of tests kits, masks and protective gear to African nations and the equipment is being used across the continent. No other countries have made public complaints about the tests.

“We are very instrumental in training, providing training to nearly all countries and providing them with test kits. We’ve also in the last couple of weeks and months distributed tests from the Jack Ma Foundation that have been validated and proven to be very, very reliable,” Nkengasong said.

Hassan Abbas, Tanzania’s chief government spokesman, said the government had formed a team of experts to examine the lab that conducted the tests, and it would give the outcome of the results once completed.

“What the president said was based on initial tests run by using animals ... to test the veracity of the test results,” Abbas said.
“Our worry was based on empirical findings. Once the team finalises its work we will know the gravity of the lapses in the machines.”

Tanzania, where places of worship remain open, has at least 480 confirmed cases and 18 deaths, the fourth highest case load in Eastern Africa. But the data is from Sunday, the most recent day the government released figures.

Almost all other African nations release daily reports on the latest tallies on infections, fatalities and recoveries. Tanzania’s lag has prompted criticism from the country’s opposition that the government is being secretive.

Asked about Tanzania’s questioning of the tests, WHO Africa head Matshidiso Moeti said on a teleconference with the media: “We are convinced that the tests that have been provided ... both through procurement through WHO and those that came through Jack Ma donations, were not contaminated with the virus.”

Africa’s testing capacity has expanded sharply but it has still carried out only around 685 tests per million people, according to a Reuters tally of figures from the Africa CDC. By comparison, Europe has carried out nearly 17 million tests, or just under 23,000 per million.

Reporting by Giulia Paravicini; Additional reporting by Ayenat Mersie and Nairobi newsroom; Writing by Katharine Houreld and Ayenat Mersie; Editing by Gareth Jones and Alison Williams

Africa disease control body rejects Tanzania assertion that coronavirus tests are faulty
 
Ansbert Ngurumo

@ngurumo


Hapa ni makaburini Ununio. Hii ni jana siku saa tatu, 25 April 2020. Ni mazishi ya siri, ya chap chap, tunayofichwa. Tafakari. Jiongeze. Jilinde. Linda wengine
 
Ansbert Ngurumo
@ngurumo


Some high-profile personalities in Tanzania who have passed on within the past 48 hours. May they rest in eternal peace!
 
 
Interesting: in Tanzania, a number of opposition MPs have boycotted parliamentary meetings in Dodoma due to the spread of Covid-19. Now Regional Commissioner for Dar es Salaam, Paul Makonda says all MPs must return to parliament in Dodoma- threatens to arrest those that don’t.
 
Nakubaliana na wewe kila ulichosema isipokuwa hili,-
2)Kitendo cha kuweka nguvu kubwa katika imani ya dini na dawa za asili na kutotilia mkazo katika maelekezo ya kitaalamu ya kuzuia maambukizi, ni kosa na Mapungufu makubwa.

Nakubalina na hatii mkazo kwenye mapambano ya maambukizi ila kuhusu kutumia dawa za asili sio kosa ni busara. Wazungu hawana dawa, wana bahatisha na dawa mbalimbali za mafua hata malaria, wanawalaza watu hospitali bila kuwapa dawa wote ila wachache, wanasema kama una dalili za korona jifungie ndani ya nyumba kwa siku 14 bila dawa na kama huna ndugu wakukuletea chakula ina maana bila chakula pia.

Kwa nini sie tusubiri dawa toka Ulaya wakati tunatibu magonjwa mengine mengi na dawa za asili kama China ambazo hazija thibitishwa na WHO?

Nakubaliana pia anafanya ujinga kutofunga mikusanyiko ya ibada ila ya aina yeyote nyingine.
 
Nimekuelewa sana kule Dubai walipopuliza alcohol disinfectanct what's the result? To fight huu ugonjwa, it has to do with behavioral approaches! Short of that hamna kitu!
Actually you didn't understand coz my focus was on leadership not the actual spraying chlorine or alchohol. Anyway from what I and lots of other people (scientists) are of the view that its an all round approach coz we are not living in an ideal world. Tell us more, what was the result? And how do you attribute that result to ONLY spraying the disinfectant?
 
We hujitambui
Jibu positive kwa oil ya gari inashindikana vipi kuwa positive kwenye sample ambayo ni negative.!!??
Hapa ulikua unajaribu kusema nini exactly?
Bado hatujawa na hoja ya msingi ya kuita corona ni ugonjwa mkubwa kwa afrika,labda ulaya huko,napo kwa sasa si tishio tena,kila mmoja anatamani mipaka ifunguliwe waishi kama awali yaani kama alivyofanya magufuli tu,
Hivi ndo mnavoendesha propaganda, watu wamefikisha malengo yao (flattening the curve) ndo maana wanaanza kufungua uchumi taratibu sio kwamba wameshindwa lockdown
Mmefumba macho mnajiambia kuna giza! Idadi probably ilishapita. Media za nje ziliripoti vifo hamsini kwa siku bado unasema haijafika?
Ukisema ni uwongo, basi walishindwa nini kuwafata na kuwalazimisha kuomba msamaha kama walivyofanya kwa stesheni nyingine waliojichanganya tu lugha? Think
 
Wanapofanya testing hizi wanaweka samples kwenye reagents zinazo react na RNA, kama hakuna RNA wa covid -19 kwenye samples reaction haitokei, na hivyo test inakuwa -ve. Kupata +ve kwenye sample ya papai inamaana kulikuwa na virus na kama kweli virus wamekuwepo kwenye mapapai na fenesi basi tungeshakuwa na corona toka zamani. Sasa hayo ndiyo maswali timu ya Rais imeyaweka mezani ili dunia ijiulize, badala ya kukubali kupelekeshwa puta kama gari bovu.
Kweli Dr. Nyambura yuko vizuri lakini pia huwezi kujua yaliyochini. Unakumbuka Dr. Mwele aliyesema tuna wagonjwa wa zika, iko wapi? Juzi huyo huyo Dr. Mwele kaibuka tena kutoka huko alikokuwa kumpinga Magu na tweet zake calibration?
Kiongozi ni mtu wa kutoa solutions sio kupoint out shortfalls. Sawa chlorine ni upuuzi mtupu basi avail resources za kutumia hiyo alcohol.
Alcohol ina evaporate haraka kwenye air na hivyo haiwezi kuwa effective.
 
mtoto ni wewe unaanzisha nyuzi za kupusikuvuna na huo huo upuuzi!!!! watu wanakufa tanzania kama nzige huku unaleta mada za kizushi tu!
View attachment 1443241
Uzi ulikua mzuri until we kichaa ulipoingia, always mijadala inayohusu watanzania peke yao huwa na mantiki ya hali ya juu

Kuanzia lugha ya staha
Ukomavu wa hoja
Utimamu wa mantiki
Utulivu wa mawazo
Uzingatiaji wa kitovu
Urari wa michango
Uzalendo wa kijamaa
Bashasha za kiungwana
Mtiririko wa kimaadili

Ila wakenya wakiingia sasa! 😑
Ni kama disko kaingia mmang'ati na sime, vurugu, mizaa, uduanzi, utaahira, matapishi, kinyesi, jasho, miozo, minuko, harufu, shuruba, karaha na hadaha za kila namna, ziwe katika mfumo wa Kiswahili au English takataka ni takataka tu.

Wakenya mjifunze kujadili kama watanzania.
 
Waafrika tunafanya kosa kubwa sana kuhusisha dawa za kitaalamu zinazotumika Hospitalini na wazungu, hizi sio dawa za wazungu ila ni dawa za kitaalamu zilizofanyiwa utafiti na watu wote wakiwemo wachina na wajapan japo wazungu ni wengi waliochangia na ndio waliozileta huku Africa kwa Mara ya kwanza.

Tofauti na hizi dawa zetu za asili ambazo Magufuli anazipigie debe ni kwamba hazifanyiwi utafiti wa kina, tunazitumia kienyeji mno, nilitegemea angeimarisha vitengo vya utafiti wa dawa zetu za asili ili ziweze kufanyiwa utafiti na kuboreshwa kabla ya kuzipigia debe.

Kwa kifupi Magufuli PhD yake, tena ya Sayansi haijamsaidia sana kumtoa katika mawazo ya kubahatisha maisha kwa kutegemea nguvu za kinadharia ambazo hazijathibitishwa ki-sayansi, kumbuka tupo katika karne ya sayansi na Teknolojia.

Kitendo cha Magufuli kwenda Loliondo na kushiriki kunywa kikombe cha babu ilikua dalili tosha ya kudhihirisha Mapungufu ya Magufuli katika eneo hilo la kuamini mambo ya hovyo.

Rais ni kiongozi wa nchi ambayo haina dini, kuna raia wenye kuamini dini na wasioamini dini, ni kosa kubwa kwa rais kusisitiza na kutenga siku maalumu za kumuomba Mungu, kazi ya kutangaza Mungu na dini angepaswa kuwaachia viongozi wa dini, mbona viongozi wa dini wanapozungumza siasa, Serikali inakataza na kusema wasichanganye dini na siasa, vipi yeye anachanganya uongozi na dini?.

Yeye lazima ajifunze kutofautisha imani yake na uongozi wa nchi, kuna watu ambao hawaamini Mungu, ukitaja Mungu wanasikia kichefuchefu, lakini katiba inawapa haki ya kutobughudhiwa, vipi rais anakuwa chanzo cha kuwabughudhi kwa kutajataja Mungu kila Mara?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona you bought the propaganda.
Reajents zinatengenezwa kwa matumizi specific kulingana na inapoenda kutumika (host) just because ina react na RNA haimaanishi haiwezi kua affected na kitu kingine. Na ndo maana hata sample zinachukuliwa kwa swab maalum na sio pamba yoyote ile.
Alafu jiulize nchi zilizolalamikia kits zililalamikia low sensitivity ie. Zinatoa negative kwa walio positive, Magufuli analalamikia positive zimekua nyingi hata maramoja hakuhoji zilizotoka negative kwa lugha nyingine hizo kits hazimpi majibu anayotaka. Hiyo ndo basis yake ya kuhoji ubora wa kits.
Kingine, tumepima watu wachache coz tunapima walioonyeshe dalili sasa iweje tena uwe na shida positive kua nyingi wakati unapima walioonyesha dalili za ugonjwa? Am not buying!!
Alcohol ina evaporate haraka kwenye air na hivyo haiwezi kuwa effective.
Unaongea kama umefanya research vile, mbona mkononi inaevaporate haraka but ni effective? au unahitaji exposure ya mda gani ambayo kwa kuspray huwezi ku-achieve?
 
Hapo ndio mnaposhindwa kupata "Concept", ama mnafanya ushabiki au hamuelewi mbachozungumza. Magufuli alipeleka "sample" ambazo hazina Corona, kwa hiyo alitegemea kupata "Negative results", matokeo yake alipata " positives", katika utafiti wake, hawezi kuzungumzia Negative kwa sababu " sample"alizopeleka alitegemea Negative.

Hao wengine walifanya tofauti na Magufuli, wao walitumia" samples" ambazo ni positive baada ya kuona watu wengi ambao ni positive wanaonekana hawana virusi. Kila research lazima iwe na lengo" research question ", sasa ulitaka lazima Magufuli afanane na hao wengine hata kama " Concern " yake ni tofauti na wao?. Jambo muhimu ni kwamba, ameziomba nchi zingine nazo kujaribu kuchunguza kama watapa hilo tatizo, inawezekana tatizo ni wafanyakazi wa maabara hawakuwa makini, badala ya kufuatilia upande wenu ili kujiridhisha, mnaanza kutoa hoja dhahifu za kupinga bila research.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa hawakuweke hitimisho bali walihoji, na hoja zao ni tatizo kati ya reagents, swabs , mashine au wataalam. kati ya hapo angalau kimoja kinatatizo.

Reagents ku-react na compounds nyingine (mfano oil) inawezekana lakini hata binadamu wanabody chemistry tofauti tofauti. Ndiyo maana watu wengine wanamijasho inanuka hata aoge kila saa, wakati wengine hawanuki kabisa. kuna wanawake ukishafanya nae tendo hata ukioga bado "scent" yake itabaki kwako hata baada ya siku mbili na kuna wengine hawana "scent" kabisa.

Hivyo, kama reagents zitashindwa kufanya kazi, kutokana na aina fulani ya compounds, basi hiyo haifai. Tuchukulie wavuta sigara au wala ugoro, mtu ambaye ni chain smoker anakuwa na particles nyingi sana za moshi mdomoni. Kama swab samples zake zenye nicotine zitazuia reagents kufanya kazi, huoni kuna tatizo kwenye reagents?

Sasa hayo ndiyo maswali Mh. Rais alikuwa anataka watu wajiulize.
Unaongea kama umefanya research vile, mbona mkononi inaevaporate haraka but ni effective? au unahitaji exposure ya mda gani ambayo kwa kuspray huwezi ku-achieve?
Kwenye mkono unapuliza au kupaka directly, hivyo kiasi kikubwa kinabaki mkononi, kabla ya kukauka. Unapopuliza hewani yale matone tone yote yanakuwa aerosolized, na ku vaporized at an infinitesimal time.
 
In that case alichokosea ni kupeleka "non applicable samples" ambayo ina discredit experiment nzima. Tatizo kubwa naona ni lack of capacity. Lab ya kupima ni moja zingekua kadhaa angepeleka sample kutoka kwa mtu mmoja maabara hata tatu alafu akalinganisha matokeo lakini kwa vile lab ni moja, na hawawezi kua na uhakika wachukue sample ya nani na watajuaje status yake, wakaona wachukue sample ambazo ni uhakika ni negative.
Kwaiyo tatizo ni Lack of capacity.
"Research question" yake ni very suspect.
Ukiwa unapima watu wenye dalili za covid, you should expect test zote ziwe positive, as matter of fact unatakiwa kua na wasiwasi zaidi na negative ulizopata. Lakini kwetu ni kinyume chake! Something is just not right. Imekaa kisiasa zaidi.
A week later hakuna kiongozi aliefanya ujinga huo wa kupima papai na fenesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…