Corona: Mapungufu na madhahifu ya Magufuli katika Mapambano dhidi ya Corona

Reagents zimetengenezwa baada ya research na tests ya vitu kama hivyo ulivyoongelea, walizingatia yote hayo na wakaja na reagent ambayo ni optimised kwa composition na tabia ya binadam sio papai na mbuzi au oil. Kwaiyo ukitumia sample tofauti na ya binadam utapata false results. Mwana sayansi yeyote anatakiwa awe anfahamu basic info kama hiyo.
 
Sio kweli kuhusu kupeleka " non applicble samples", hivi kwanini wanasayansi huwa wanasema Virusi vya UKIMWI vinaweza kupatikana kwa wanyama aina ya Sokwe mtu lakini hauwezi kuathiri "Domestic animals and birds?', hiyo ni baada ya kuwapima hao wanyama na kugundua kwamba hata baada ya kuwaingiza Virusi vya Ukimwi lakini " Domestic animals and Birds" wanaendelea kuwa "Negative" lakini Sokwe mtu wanaonyesha Positive.

Aina ya sample haihathiri matokeo ya vipimo kwa sababu ili reaction ikamilike lazima kuwepo na Genetic materials ya virus(RNA).

Inaonekana wewe unazungumza kiushabiki zaidi. Magufuli hakufikia 'Conclusion" kwamba tatizo ni " testing kits", yeye amesema lazima uchunguzi ufanyike inawezekana ni " human errors, Sabotage, au testing kits, tayari baadhi ya wahusika waneshawekwa pembeni na jopo la wataalamu limeundwa ili kuchunguza na kupata ukweli, wewe tayari umeshapata majibu yako kwa kutumia kichwa chako kimoja, hapo ndio tofauti ya "Scientific way of solving problems, na hiyo njia yako ya kienyeji na ushabiki.

Baada ya hiki kitendo cha Magufuli kuonyesha hili tatizo, zaidi ya 80% ya watu wenye akili wamempongeza, wakiwemo wanasayansi wa Kenya wanaofanya research huko China, Gavana wa Machakosi, Alfred Mutua ameagiza watumishi wa Afya wafanye kama alivyofanya Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu watu waliokuwa wamekula papai au fenesi siku ile? Chembe chembe ndogo za papai zilizobaki mdomoni na kuchukuliwa si zitaharibu matokeo? Huoni kuwa hoja yako haina mashiko?
 
Ngoja niseme hivi, hawakutumia njia sahihi ya kupima papai, fenesi na oil. Walitakiwa kutumia reagents ambazo ni optimised kwa kupimia sampuli zitokanazo na mimea, oil za gari au hata wanyama wengine.

human errors kwenye compromised experiment inakujaje?
Sabotage kivipi wakati experiment yako ni wrong from the onset?
Testing kits wakati umetumia reagents zisoendana na sample ulizochukua?
Lazima uanzie experiment sahihi kabla ya juuliza maswali ya design hii.

Inawezekana ni sitution ya "tell a fool what he wants to hear" ume-consider posibility hiyo? Wiki saivi ishapita ushaskia mwingine katest papai? Viongozi wangapi wamesifia CVO ya Madagascar, wangapi wameagiza? Whos walking the talk?
 
Vipi kuhusu watu waliokuwa wamekula papai au fenesi siku ile? Chembe chembe ndogo za papai zilizobaki mdomoni na kuchukuliwa si zitaharibu matokeo? Huoni kuwa hoja yako haina mashiko?
C'mon hiyo ni very cheap argument! Kwani ni stomach content inapimwa?
Sample zinachukuliwa wapi? Kwanini zinachukuliwa mara mbili? (Up the nostril & back of the throat)
Haya kama oil walichukua kwenye filter na kwenye "sampo". Ya papai walichukua wapi na wapi? Je ya fenesi? Ya mbuzi? Unaona hii experiment ilivyokua compromised from the onset?
 
Kwa hiyo hao international recognised researchers ealiosifia hiyo hatua hawajui kitu, ila wewe ndiye unayejua zaidi?.

Hivi ukichukua vipande vidogo vya chuma na kuvitumbukiza katika juice ya papai au ndani ya damu ya Mbuzi, kisha ukatumbukiza kipande cha sumaku (Magnet) hakutatokea "attraction" kwa sababu ya mazingira tofauti?.

Kama umesoma sayansi, hakuna tofauti yoyote inayoweza kuleta athari, kitu muhimu ni ukusanyaji, usafirishaji na uandaaji wa "sample" na upimaji, ndivyo vinavyoathiri matokeo, haijalishi sample imetoka wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juice ya papai na vipande vya chuma, really? Hii inaitwa pedestrian thinking.
Mi nawaza mfano kama kuonja chumvi kwenye solution ya maji. Alafu ongeza sukari kwenye hiyo solution alafu onja tena chumvi.

Kama umesoma sayansi, hakuna tofauti yoyote inayoweza kuleta athari, kitu muhimu ni ukusanyaji, usafirishaji na uandaaji wa "sample" na upimaji, ndivyo vinavyoathiri matokeo, haijalishi sample imetoka wapi.
Inachekesha kwamba unaongelea ukusanyaji, usafirishaji na uandaaji wa sample kutetea hoja yako! Hizo hatua zote ulizotaja kuna risk ya contamination, moja wapo ya contaminants ni pamoja na virus yenyewe na chemicals zingine ambazo hazikua anticipated kama oil ya gari na juice ya papai. Kuiweka kwa makusudi haifanyi isiwe contaminant. Its pure commonsense!
 
Kwa hiyo hujui dawa zote za Hospitali zinatengenezwa na mimea ambayo sie washamba tunaita mitishamba, pia hujui Tanzania inatengeneza Aspirin, Chloroquine na Kwinini ya mitishamba, pia hujui TZ inafanya utafiti wa dawa zake zote za asili zinazouzwa na waganga wa asili. Uko nyuma kujua yote haya.

Unafikiri Afrika haina uwezo wa kutengeneza dawa? Tulitumia nini kabla ya ukoloni? Jifunze kwanza.
 
Sasa kama wanakufa ulitaka nifanyeje?, wacha ujinga na uanze kujadili mada husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mada husika ni utoto mtupu na sera ya magufulu ni kijufukiza. kanunue matawi yako uingie jikoni!!!
ohn Pambalu

@JPambalu


Kuna wabunge ukimsikiliza tu ama kutazama vituko vyake utajua tu this is CCM material. Mbunge mwingine naye ajitokeza akionyesha umahiri wake katika kupikwa NYUNGU/Kujifukiza. Mtawafanya wengi wapuuze kuchukua tahadhari kuhusu Corona wakiamini Kujifukiza kumbe haijathibitishwa
Translate Tweet



12:54 PM ยท May 1, 2020ยทTwitter for Android
 
kujadiliana nini na mtz, anaishi bubble la uongo na uhaba wa habari au ni ujinga tu!!


Talanta Mhanga

@MhangaTalanta


Haya ndio matokeo ya chai ya Ikulu , sijui hawa watu huwa Wana patwa na nini? Wakienda ikulu. Ndio maana Mimi Ile clip ya gwajiboy , akila kondoo wake siku mtetea nilijua tuu ndio tabia yake.
@VitusNkuna

@JPambalu

@Twaha_Mwaipaya

@franklin_tissa

@MariaSTsehai

@fatma_karume
Translate Tweet

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ