Corona mpya?

Corona mpya?

Yaani nisiende kwenye mizunguko yangu ya kila siku maana ndivyo inavyotaka corona 🤷🏼‍♀️
Nenda ila epuka kugusana na watu,vaa barakoa usione aibu kuivaa. Nawa mikono mara Kwa mara tena Kwa sanitizer.
 
Mbna mnakuza mambo sana
Lemutuz hakufa kifo cha ghafla
Lemutuz anaumwa muda mrefu ni mara nyingi amekuwa akilazwa na kutoka HOSPTARI
same MEMBE ukimuangalia MEMBE tangu alipopokwa mbio za urais mpk magu anaingia madarakani mpk anatoka
BODY language yake ilikuwa inaonesha hakuwa sawa kiafya rudia picha zake za miaka ya karibuni linganisha na za miaka wakati wa kikwete

Kuhusu hizo homa kupumua sijui blahblah
Now tunaelekea kipupwe but kumekuwa mkanganyiko wa hali ya hewa wiki mbili kutoka hali ya HUMIDITY fulan kipindi cha mvua ghafla kimukuja kijoto fulani ambacho kama HUMIDITY na vumbi kushikama vyumbani (kagua nyavu za madirisha yako juu ya makabati panga za feni lako na kona zite chumbani na dalini utakutana na mgandi wa VUMBI lenye unyevu(HUMIDITY) kwa mbali

Kwakuwa tunapenda matumizi sana ya feni inacycle lile vumbi puani hali ukilala pua zinaziba kabisa
ukitaka ulale vizuri fungua pazia zima feni utaona unalala vizuri na pumzi zinakuja vizuri shida ndo joto inakulazimu kuwasha FENI

Wale wenzangu na mimi au naweza sema 70% ya watanzania tuna mzio wa mafua akianza mmoja katik familia wote
sasa changamoto hii chunguza now kila unayekutana kazi kupyenga pyenga makamasi hvyo Hvyo ufany mpk mishipa kichwa iume mpk mwili kupata homa

Hvyo katika kipindi hichi kuelekea kipupwe si mafua tu hata ule ugonjwa baridi yabisi utasumbua sana tu
Haya ni mabadiriko ya hali ya hewa ya kawaida katika kila kipindi cha mwaka siku zite ni Kama vile mwezi wa 11 12 kuelekea kipindi cha CHAMVUA katika mimea

So acha kukuzakuza mambo
 
Corona hudhoofisha zaidi hali ya mgonjwa.
 
Tuombe mwisho mwema tu...mauti ya ghafla kwa sasa ni mengi...na hata vijana wadogo wanakufa kwa wingi, utaskia mtu kaumwa kdg tu kichwa,kichwa, homa...hospital, kafa. Ukitoboa over 40 ujue unatumia bonus [emoji23]

Muhimu kujitayarisha tu, hata tuogope tusiogope tutakufa tu.
 
Wadogo wanaondoka yaan inahuzunisha sana, tukishazika tunasahau shida ndio ipo hapo wengine utasikia wanazusha kalogwa yaan ghafla tu mtu kafa eti hospital wanasema kaishiwa damu,
 
Mbna mnakuza mambo sana
Lemutuz hakufa kifo cha ghafla
Lemutuz anaumwa muda mrefu ni mara nyingi amekuwa akilazwa na kutoka HOSPTARI
same MEMBE ukimuangalia MEMBE tangu alipopokwa mbio za urais mpk magu anaingia madarakani mpk anatoka
BODY language yake ilikuwa inaonesha hakuwa sawa kiafya rudia picha zake za miaka ya karibuni linganisha na za miaka wakati wa kikwete

Kuhusu hizo homa kupumua sijui blahblah
Now tunaelekea kipupwe but kumekuwa mkanganyiko wa hali ya hewa wiki mbili kutoka hali ya HUMIDITY fulan kipindi cha mvua ghafla kimukuja kijoto fulani ambacho kama HUMIDITY na vumbi kushikama vyumbani (kagua nyavu za madirisha yako juu ya makabati panga za feni lako na kona zite chumbani na dalini utakutana na mgandi wa VUMBI lenye unyevu(HUMIDITY) kwa mbali

Kwakuwa tunapenda matumizi sana ya feni inacycle lile vumbi puani hali ukilala pua zinaziba kabisa
ukitaka ulale vizuri fungua pazia zima feni utaona unalala vizuri na pumzi zinakuja vizuri shida ndo joto inakulazimu kuwasha FENI

Wale wenzangu na mimi au naweza sema 70% ya watanzania tuna mzio wa mafua akianza mmoja katik familia wote
sasa changamoto hii chunguza now kila unayekutana kazi kupyenga pyenga makamasi hvyo Hvyo ufany mpk mishipa kichwa iume mpk mwili kupata homa

Hvyo katika kipindi hichi kuelekea kipupwe si mafua tu hata ule ugonjwa baridi yabisi utasumbua sana tu
Haya ni mabadiriko ya hali ya hewa ya kawaida katika kila kipindi cha mwaka siku zite ni Kama vile mwezi wa 11 12 kuelekea kipindi cha CHAMVUA katika mimea

So acha kukuzakuza mambo
Na ni kawaida tukibadilisha weather basi kunatokea mlipuko wa homa hasa za mafua na kifua, kipindi cha ramadhani kwetu kwenye nyumba nyingi hakuna ilokuwa haijapitiwa na homa kali, tena haumwi mtu mmoja

Wanataka kuanza kutuvalisha mabarakoa tukose pumzi, na yale masenitaiza siyapendi hata kuyaona...ile korona ya mwanzo nilikuwa nanawa na sanitizer mpk chafya kwa harufu ya spirit [emoji17]
 
Ndugu tuwe makini nimeona dadili za corona tena inaweza kuwa kali kuliko zilizopita. Mambo yote huanza kama tetesi. Nina dots chache hapa:

1. Vifo vya ghafla vya watu maarufu wawili nchini. Haijasemwa directly nini kimewatoa but maelezo ya daktari yanaashiria ni masuala hayo

2. Mamangu mzee kuugua mafua kali haijapata kumtokea na yeye kajaliwa kinga kubwa sana dhidi ya mafua. Tunaweza kuugua wote nyumbani mafua yeye asiugue. Korona iliyopita hakuugua mafua hata kidogo wakati wengine wote tulisikia dadili zote za korona!

3. Mimi nina wiki sasa kifua kilianza polepole na sasa kimezidi kubana ilikuwa usiku tu lakini sasa hata mchana hasa nikilala. Niko busy na mitishamba huku kijijini.

4. Nasikia pia mahospitali watu wenye changamoto za upumuaji wameongezeka sana recently.

5. Nimeona pia uzi mwingine JF ukizungumzia jambo kama hili.

Dadili za kipindi hiki zinaweza jumuisha:

1. Kubanwa kifua hasa ukiwa umelala. Inaanza na kusikia kama vile vitu vinachomachoma kifuani
2. Kuumwa kichwa kwa mbali
3. Mafua (baadhi)
4. Hakuna kikohozi

Mytake: Kwa bahati mbaya Tanzania serikali yetu ipo nyuma ya wakati, ni serikali ya maji ya shingo, ubabaishaji, usiri usiojali maisha ya watu, uzembe na kutowajibika kutokana na madhila zinazowapata wananchi wake.

Take your steps based on the previous pandemic experience, usisubiri mtu.

Of course kirus hiki ni strain tofauti na kinaweza kuwa mutant wa strains zilizopita. Viral strains ni nyingi kama mjuavyo virus hubadilika kila wakati na kila kirus kina dadili zake na ukali wake.

Dots…

Upo sahihi na wenye akili tu ndio watakuelewa mkuu.
 
Back
Top Bottom