Corona: New Zealand siku ya 17 leo bila ya kirusi Corona nchini

Maisha yanaendelea kama kawaida na kuanzia kwenye ukoo wangu,marafiki zangu na hadi majirani zangu sijasikia kifo hata kimoja kisichoeleweka hadi sasa, binafsi namshukuru sana Mungu hasa ukizingatia uhatari wa corona.
 
kuanzia mwanzo ulikua unalilia lockdown mpaka sasa umeshafeli vibaya maana chuma kimekaza. pole sana mzee kama ulitaka lockdown ukaenjoy na shemeji vizuri ushafeli vibaya mno unataka lockdown unauwezo wa kuwalisha wa tz 50m unaona wenzako uganda na lockdown bado watu wanapata corona na mpka M7 anawapangia kula gram 60 kwa siku sababu hamna msosi
 
Nimegundua kwanin kwenye ukoo muangea pumba upenda kulukia lukia kila madaa

Einstein agundue wewe nawe ufanye ugunduzi?

Labda kama ni wa kupiga nyungu?

Usijipe umaarufu usioweza kuwa nao. Kugundua jina kubwa jombi. Haliwezi kuwa saizi yako mburula kama wewe.
 
Ali implement WHO recommendation on combating the spread of coronavirus! It is no miracle! Just Science!

Haipo namna nyingine ya kupiga vita magonjwa mapya nje ya recommendations za WHO.

WHO wako na resources zote zinazotakina kuweza kuishauri dunia kuhusiana na magonjwa zikiwamo pandemics kama hizi.

Ukikuta mtu mzima anajimwambafai na ya kwake, kwani kuna haja hata ya kupigishana kelele?

Kwani walisema njia ya mwongo ni ndefu?
 

Unaandika kwa uzi upi mkuu?

Mbona mada ya kwenye huu uzi haina cha kufanya na ulichoandika?

Hivi hata kusoma mnafahamu kweli?

Kutokujikita kwenye mada ni kuanika umburula wenu hadharani!

Kama lengo ni hilo, tokea shukurani. Tayari tumefahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…