kama sikosei hii kauli aliizungumza cyprian mulaga musiba, wakati ule taifa linapinga katakata uingizaji wa chanjo kwa amri kutoka juu,
watu wengi waliamini katika hili lakini kiuhalisia iyo ilikua ni elimu ya kijinga inayopanddikizwa kwa watanzania na matokeo yake ni haya tunayaona leo, watanzania wamegomea kata kata kuchanjwa chanjo sababu kubwa ni kwamba fulani alikataa
sasahivi zinapandikizwa akili nyingine kwamba chanjo ni mpango wa kutupunguza duniani
hii ni hatari kwa usalama wa nchi, korona ya sasaivi inafyeka kimya kimya
mkitaka kujua chanjo inaufanisi hebu fatilieni takwimu ni watu wangapi wanakufa kwa kovid huko duniani ukilinganisha na siku za nyuma?
narudia tena fateni ushauri wa wataalamu mtakufa kijinga,
vaccine inakuongezea kinga mwili ya kupambana na kirusi,
au labda mnaopinga hii chanjo tunaombeni njia nyingine mbadala ya kumaliza hili gonjwa
over