Corona ni futa ukijifukiza linapasuka, akili za kijinga zilizopandikizwa kwa watanzania

Corona ni futa ukijifukiza linapasuka, akili za kijinga zilizopandikizwa kwa watanzania

Huwezi kuniamulia ^key-two,^ sawa!??? Hata Bi Mkubwa kasema chanjo mwendokasi ni hiari!!!
Sasa nani kakuamulia,we tuliza mshono utaona chanjo zitakavyoisha chap chap!
Unaweza ukawa unapiga kelele hapa ila chanjo ikifika mtaani kwako ukawa mstari wa mbele kabisa!
 
Rekebisheni CONSENT FORM kwanza, kwanini mnajitoa kwenye uwajibikaji kama mna uhakika CHANJO haina madhara?
Hapa ndipo tutajua tofauti kati ya wale walioenda shule kusoma na walioenda shule kutafuta elimu 🙂 🙂 🙂
 
Rekebisheni CONSENT FORM kwanza, kwanini mnajitoa kwenye uwajibikaji kama mna uhakika CHANJO haina madhara?
Sikuwahi kuona chanjo inayotolewa Kwa masharti kama haya.Hapo ndipo penye ukakasi. serikali inaogopa nini?
 
Back
Top Bottom