Bome-e JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 17,179 Reaction score 26,188 Jul 31, 2021 #21 Jasmoni Tegga said: Huwezi kuniamulia ^key-two,^ sawa!??? Hata Bi Mkubwa kasema chanjo mwendokasi ni hiari!!! Click to expand... Sasa nani kakuamulia,we tuliza mshono utaona chanjo zitakavyoisha chap chap! Unaweza ukawa unapiga kelele hapa ila chanjo ikifika mtaani kwako ukawa mstari wa mbele kabisa!
Jasmoni Tegga said: Huwezi kuniamulia ^key-two,^ sawa!??? Hata Bi Mkubwa kasema chanjo mwendokasi ni hiari!!! Click to expand... Sasa nani kakuamulia,we tuliza mshono utaona chanjo zitakavyoisha chap chap! Unaweza ukawa unapiga kelele hapa ila chanjo ikifika mtaani kwako ukawa mstari wa mbele kabisa!
Eng. Zezudu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 8,024 Reaction score 11,546 Jul 31, 2021 #22 Ndachoma mwaka 2026, Mana ndakuwa nishamjua kama inamadhara au haina, asee, kila siku chanjo tu,
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Jul 31, 2021 #23 misasa said: Rekebisheni CONSENT FORM kwanza, kwanini mnajitoa kwenye uwajibikaji kama mna uhakika CHANJO haina madhara? Click to expand... Hapa ndipo tutajua tofauti kati ya wale walioenda shule kusoma na walioenda shule kutafuta elimu π π π
misasa said: Rekebisheni CONSENT FORM kwanza, kwanini mnajitoa kwenye uwajibikaji kama mna uhakika CHANJO haina madhara? Click to expand... Hapa ndipo tutajua tofauti kati ya wale walioenda shule kusoma na walioenda shule kutafuta elimu π π π
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 14,244 Reaction score 10,073 Jul 31, 2021 #24 Jasmoni Tegga said: Hapa ndipo tutajua tofauti kati ya wale walioenda shule kusoma na walioenda shule kutafuta elimu π π π Click to expand... Kwanini?
Jasmoni Tegga said: Hapa ndipo tutajua tofauti kati ya wale walioenda shule kusoma na walioenda shule kutafuta elimu π π π Click to expand... Kwanini?
kson m JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 6,672 Reaction score 3,055 Jul 31, 2021 #25 misasa said: Rekebisheni CONSENT FORM kwanza, kwanini mnajitoa kwenye uwajibikaji kama mna uhakika CHANJO haina madhara? Click to expand... Sikuwahi kuona chanjo inayotolewa Kwa masharti kama haya.Hapo ndipo penye ukakasi. serikali inaogopa nini?
misasa said: Rekebisheni CONSENT FORM kwanza, kwanini mnajitoa kwenye uwajibikaji kama mna uhakika CHANJO haina madhara? Click to expand... Sikuwahi kuona chanjo inayotolewa Kwa masharti kama haya.Hapo ndipo penye ukakasi. serikali inaogopa nini?