Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 648
- 1,485
Mwaka jana 2020 tuliona Corona ilivyowasumbua marais wengi duniani kisiasa. Championi wa Corona alikuwa Donald Trump's na Dr Magufuli.
Trump alipoteza Urais baada ya wapinzani kumzidi nguvu kuhusu Corona. Dr Magufuli aliwashinda wapinzani katika mapambano ya siasa ya Corona leo Mbowe hata barakoa havai na mikusanyiko kwake ni kawaida tu.
Sasa naona siasa kati ya Askofu Gwajima na sisi wafuasi wake KIMTAZAMO kuhusu Corona dhidi ya Mama na wafuasi wake.
Tuone tutaendaje mbele.