Technology hiyo ilikuwepo mda tu sio kuwa ilikuja baada ya uviko 19.kuna vitu navyo inabidi uvijue,
1.Mwanadada mmarekani mweusi ndo kaja na hii technology wakati ana research dengue fever nchini sri lanka (2009-2014).
2.Corona virus,sio ugonjwa mpya kama wengi wanavofikiri, muundo wake ulikuwa tayari ushajulikana kupitia research zilizofanyika kwenye magonjwa ya
a)MERS(middle east respiratory Syndrome) na
b)SARS(severe Acute Respiratory Syndrome). Haya magonjwa yalitoa mwanga zaid kuelewa uviko 19 kutokana na kufanana kwao,pia njia alogundua(kizzmekia corbett) ya kutumia messenger RNA(mRNA) kuipa code 's' protein ili kuupa mwili nguvu ya kupambana.
3.)mwanadada huyu kizzmekia corbett, kahusika kutengeneza chanjo ya moderna.
4.)Chanjo ya pfizer na moderna ni mchango mkubwa wa mturuki(german citizen) na mmarekani mweusi .