#COVID19 Corona ni siasa: Mama Samia kuwa nayo makini

Wewe mbwa mshenz,mchaga koko Tutolee hapa utopolo wako shenzi taipu wewe
 
Technology hiyo ilikuwepo mda tu sio kuwa ilikuja baada ya uviko 19.kuna vitu navyo inabidi uvijue,
1.Mwanadada mmarekani mweusi ndo kaja na hii technology wakati ana research dengue fever nchini sri lanka (2009-2014).
2.Corona virus,sio ugonjwa mpya kama wengi wanavofikiri, muundo wake ulikuwa tayari ushajulikana kupitia research zilizofanyika kwenye magonjwa ya
a)MERS(middle east respiratory Syndrome) na
b)SARS(severe Acute Respiratory Syndrome). Haya magonjwa yalitoa mwanga zaid kuelewa uviko 19 kutokana na kufanana kwao,pia njia alogundua(kizzmekia corbett) ya kutumia messenger RNA(mRNA) kuipa code 's' protein ili kuupa mwili nguvu ya kupambana.

3.)mwanadada huyu kizzmekia corbett, kahusika kutengeneza chanjo ya moderna.
4.)Chanjo ya pfizer na moderna ni mchango mkubwa wa mturuki(german citizen) na mmarekani mweusi .
 
Hapa ndo shida ilipo, kuliko kutengeneza mRNA ambayo inaenda ku-induce a human genome, kulikuwa na shida gani kutengeneza viral proteins directly ambazo zinaweza kuwa delivered through vectors or carrier molecules. Nafikiri teknolojia waliyotumia kwenye Sputnivik na Sinovac ni tofauti na hizi za pfizer na moderna na inaweza kuwa salama zaidi......huoni kwamba dalili za blood clots, thrombocytopenia na hata inflammation zilizoripotiwa zinaweza kuwa zimesababishwa na induction of autoimmunity kama side effects za chanjo? hasa hizo zinazotumia mRNA technology? Huoni kwamba teknolojia zinazolenga kufanya manipulations kwenye human genome zinaweza kusababisha mabadiliko ya kitabia/mwenendo au kimaumbile ya binadamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…