Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ila ana point, Tatizo ni uwasilishaji wa point yake.kuwa umeleta usawa!
Upo sahihi,ila angalau amesema ukweliWaafrika wanafki nae akipewa cheo utamshanga rejea ya pole pole wa katiba huru na pole pole wa sasa
Niliweka jukwaa la siasa wenye Jf yao wameleta hapa mkuuGood . Mtoa post share na kwenye forum nyengine za jf.
Nikweli ila alichokisema ni ukweli mtupu
Ameongea vitu vya maana sana.
Mkuu anaitwa nani huyu?Ndio wale wale, yeye ni kiongozi sio Mkenya wa kawaida, hana jipya huyo. Ni kama haya maneno yatamkwe na Makonda. Maneno matamu ya kisiasa tu, sema ana point nzuri.
Hii inahusu Kunyaland yenyewe JPM ashajiandaa siku nyingii!