smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
apate vyeo mara ngapi?...fatilia vizuri CV yake.Waafrika wanafki nae akipewa cheo utamshanga rejea ya pole pole wa katiba huru na pole pole wa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
apate vyeo mara ngapi?...fatilia vizuri CV yake.Waafrika wanafki nae akipewa cheo utamshanga rejea ya pole pole wa katiba huru na pole pole wa sasa
Jamaa alikuwa mtata sana enzi zile akiwa msemaji wa serikali. BTW vipi ile project yake ya Machawood?...Ndio wale wale, yeye ni kiongozi sio Mkenya wa kawaida, hana jipya huyo. Ni kama haya maneno yatamkwe na Makonda. Maneno matamu ya kisiasa tu, sema ana point nzuri.
Mkuu huyu tayari cheo anacho,ni governor wa Machakos so hapo anajisema hadi yeye pia..Waafrika wanafki nae akipewa cheo utamshanga rejea ya pole pole wa katiba huru na pole pole wa sasa
Ni governor machakos county Kenya. Ni Kati ya hawa anaowasema matajiri lakini katokea familia ya kimaskini. Alipata ufadhiri wa Masomo toka kwa mfadhiri wa kikanisa marekani chuo kikuu huko huko marekani.Mkuu anaitwa nani huyu?
Mkuu anaitwa nani huyu?
Jamaa alikuwa mtata sana enzi zile akiwa msemaji wa serikali. BTW vipi ile project yake ya Machawood?...
Hiki ndicho mpiganaji Magufuli anachopambania na anakifanya tz kwa vitendo! Wakenya karibu kwenye club…sisi tumeshatambua kipindi tangu Magu ashike usukani…safari apolo zimepungua na tunatengeneza appolo zetu hapahapa tz!
Jamaa tayari ana cheo kubwa tu. Jamaa ni governor wa MachakosWaafrika wanafki nae akipewa cheo utamshanga rejea ya pole pole wa katiba huru na pole pole wa sasa
unamjua huyo nani ama unakurupuka tu? Huyo ni governor wa County ya Machakos hapo ana-politicize mambo maana yeye ni mdosi pia!
Hiki ndicho mpiganaji Magufuli anachopambania na anakifanya tz kwa vitendo! Wakenya karibu kwenye club…sisi tumeshatambua kipindi tangu Magu ashike usukani…safari apolo zimepungua na tunatengeneza appolo zetu hapahapa tz!
Hiyo ilikuwa kabla Magu hajashika hatamu! Kipindi hicho hata nyumba ndogo zilikuwa zikitaka tu kwenda shopping Dubai walisingizia wanakwenda kwa ajili ya checkups india na arabuni! Kipindi hicho madaktari na hospitali zetu hazikuonekana kuwa na hadhi ya hata kufanya check-ups kwa vigogo hao!Kuna sehemu nilisoma kwamba spika wenu anatibiwa mafua kule India, ilikuaje.
Waafrika wanafki nae akipewa cheo utamshanga rejea ya pole pole wa katiba huru na pole pole wa sasa
Hiyo ilikuwa kabla Magu hajashika hatamu! Kipindi hicho hata nyumba ndogo zilikuwa zikitaka tu kwenda shopping Dubai walisingizia wanakwenda kwa ajili ya checkups india na arabuni! Kipindi hicho madaktari na hospitali zetu hazikuonekana kuwa na hadhi ya hata kufanya check-ups kwa vigogo hao!
Kwa uchambuzi wa ripoti ya CAG, Bw. Job Ndugai alikaa India kwa miezi mitano, sawa na siku 150. Kwa siku moja alilipwa posho ya dola 500 sawa na Sh. 1,160,100.00, na hivyo kwa miezi mitano alilipwa dola 75,000 sawa na Sh. 174,015,000.00.
Akiwa India alikuwa na wasaidizi wawili – maana alihamishia ofisi yake huko huko hotelini. Kwa gharama ya dola 450 sawa na Sh. 1,044,090.00 kila moja kwa siku, walilipwa dola 900 sawa na Sh. 2,088,180.00 kwa siku. Kwa siku 150 walizokaa India, walilipwa dola 135,000 sawa na Sh. 292,950,000.
Kwa ujumla, matibabu ya Ndugai kwa miezi mitano huko India yalitumia posho za sh. 466,965,000. na hapo bado gharama za hospitali huko India, na tiketi za ndege kwa watu wote hao, na bado gharama alizokuwa anatumia mkewe.
Takwimu hizi zilikuwa ni kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika hospitali za India.
Wakati huo huo tusisahau kuwa Bw. Job Ndugai aliendelea kupata mshahara wake na posho zake kama Spika wa Bunge ambazo idadi yake naomba kama kuna watu humu wanazijua watusaidie kuzitoa.
Hakuna anayejua kwa uhakika Bw. Job Ndugai alikuwa anaumwa ugonjwa gani uliosababisha hadi ofisi yake ihamishiwe 5-star hotel nchini India ambako alichukua VIP suite nzima. Mpaka sasa gharama za matibabu yake ni siri kama ulivyo ugonjwa wake.
UPDATE:
Soma pia
Gharama matibabu Ndugai yazua jambo. Alitumia zaidi ya Dola Milioni 12
BARAZA la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamedai wamemwibukia spika wa Bunge, Job Ndugai, huku wakitaka ripoti ya gharama za matibabu ya kiongozi huyo wa chombo cha kutunga sheria alipokuwa India, iwasilishwe bungeni. Mwenyekiti wa Baraza hilo, Hashim Issa, aliyasema hayo...www.jamiiforums.com
Duh! Nakumbuka alipopata tu ugavana wa Machakos kuna msaidizi wake mmoja alinifuata (by the time I was a Secretary General of Tanzania Film Federation) ili kuwe na ushirikiano kati ya Federation yetu na Machawood, nikakabidhiwa kwa msaidizi wake anayeshughulikia Machawood anayeitwa Muniaf...Kipindi hicho akiwa msemaji alikua anaachia pumba kama za Bashiru au Pole Pole.
Machawood iliangukia pua.
Hakujua vipau mbele vya kaunti.
Hii issue ya Ndugai na matumizi ya ovyo ndiyo iliyochangia kuondolewa madarakani CAG...Tatizo mnapenda kutumia nguvu nyingi kusifia mpaka mnajisahau na kuanza kuongea uwongo, hapa nasoma taarifa za huyo Spika Ndugai alivyotumia mamilioni ya hela za walipa kodi kule India tena ilikua mwaka juzi tu kwenye hii awamu ya tano halafu bila aibu unadanganya eti ilikua enz za Kikwete.
Kule alikwenda mpaka na wasaidiz wake wote wakalipiwa kila kitu.