Aliekuambia corona imeisha ni nani ww 🤔
Hakuna corona, mabeberu yanalazimisha Tanzania kuna corona,
Corona ipo wapi mbona hatuone wanaokufa au haya mafua tu ya kawaida ndio corona?
Kama ndio hivyo basi corona haina nguvu kama tunavyoaminishwa
Yule Mzee aliyepigwa na bashite anavuta cigar hadi anapoteza pumzi.Je unakula kitimoto🐷🐖🐽? Je wewe ni Msabato Safi na hauvuti sigara, hunywi pombe, na huli haramu?
Je wewe ni Muislam Safi na huli najisi yoyote, Wala hunywi 🥃🍻?
Je wewe unavuta sigara, unakula K na kitimoto 🐷🐖🐽?
Amini nawaamboa life span yet wote sawa.
Wengi hufa kuanzia miaka 60.
Wee jiachie tu.
Kuna mzee mmoja alipigwa ngwala kimo Cha mbuzi na BASHITE, anakunywaga ngumu kumeza.... Mzimaaa wa Afya njema.
Salim A. Salim havuti, hanywi yaani Safi lakini afya ndio spana mkononi.
Hebu tusitishane sijui usinywe soda, usile chumvi, usile kitimoto 🐷 🐖🐽, usile K, sijui usile Nini..... Wee kula tu.
Pana mtu alisema: "usingoje igonge mlangoni kwako ndipo ujue kuwa ipo". Mwisho wa kumnukuu.
Hakuna kweli corona, nilipo huku kuna vikongwe wengi kweli miaka 80+,k
Corona ilipopamba moto nikawa nawaona na mfua tu nikadhani hapa tuwepoteza lakin wapi
Wapo wanadunda tu hakuna cha barakoa Wa mini,hata hivyo Mimi mwenyewe sijawahi kuvaa barakoa Wa kuona mgonjwa amekufa na corona.Isipokuwa matajiri ndio wanakufa tu
Wewe unajua wazi kwamba Tanzania tumefanya kituko kwa namna tulivyoikabili corona; takwimu hakuna, usiri mkubwa, kuzika usiku, kutokufanya mambo kwa weledi, n.k halafu ndio unasema tumefanya mambo kwa ukomavu?...Unafanana sana na boss wako kwenye ile suti yake maarufu.0Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada.
Kwa mwendelezo wa updates kuhusiana na huu ugonjwa hapa nchini Tanzania, watake wasitake (wakiwamo mabeberu) wanacho cha kujifunza tokea katika mafanikio yetu.
Maeneo matatu muhimu kwenye mafanikio hayo wakiyadharau itakuwa imekula kwao vilivyo:
1. Ukomavu. Hapana kusikiliza kelele za vyura. Kukomaa kiutu uzima tu. Haipo Corona hapa. Kwisha!
2. Kuweka msitari wa mbele vitani, wasiokuwa wataalamu wabobezi wa fani husika. Mfano madaktari siyo wa kutanguliza mbele kwa ajili ya vita kali hii yenye kuhusiana na masuala ya afya!
3. Hawa wanaotumiwa na mabeberu muhimu wakatambuliwa na kupewa maelekezo. Mwenye Corona hana utaifa. Tanzania ikuhusishwa na Corona uraia au utambulisho hugeuka mara moja kuwa nchi ya kigeni au walau kuwa raia tokea nchi jirani!
Huyu hapa bado hajaelewa somo:
Sad News For Uganda, Kenya And Tanzania After More Cases of Covid-19 Keep Increasing
Huyu some analijua:
Rwanda registers first Covid-19 death
Vita ni vita mura!
Wewe unajua wazi kwamba Tanzania tumefanya kituko kwa namna tulivyoikabili corona; takwimu hakuna, usiri mkubwa, kuzika usiku, kutokufanya mambo kwa weledi, n.k halafu ndio unasema tumefanya mambo kwa ukomavu?...Unafanana sana na boss wako kwenye ile suti yake maarufu.0