Corona: Somalia nayo yajibu mapigo, yafuta vibali vya baadhi ya ndege za Kenya kuingia Somalia

Corona: Somalia nayo yajibu mapigo, yafuta vibali vya baadhi ya ndege za Kenya kuingia Somalia

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
MY TAKE; Kenya isipokua makini itajikuta haina Jirani hata mmoja wa kukimbilia watakapochinjana 2022.

=====


Somalia Revokes Licenses of Two Kenyan Airlines

Somalia has revoked the flight licenses of two Kenyan Airlines and banned them from flying into Somalia on the grounds of violating COVID-19 directives.

The two Kenyan airlines, Buff Air Services, and Silverstone Air Services, allegedly ferried consignments of khat to Somalia while disguising them as medical supplies. The consignments arrived in the Somalia towns of Buhodle and Jowhar on 26th May and 31st May 2020, respectively.

The Somali federal government had banned the importation of khat from neighboring Kenya and Ethiopia, saying it contributes to the spread of the deadly COVID-19 disease.

On 12th November 2019, Silverstone suspended operations of its Bombardier Dash 8 fleet following an audit from the Kenya Civil Aviation Authority that revealed non-compliance problems following multiple incidents involving the airline’s fleet.

In February this year, Kenya’s low-cost carrier, Jambojet, halted its planned flights into Somalia after Somali authorities denied the carrier morning landing slots. Somalia authorities argued that there is high traffic during that time.

Source: The Kenyan Wall Street
 
ha ha ha... LDC nations threatening us now???
 
Kenya wako sahihi kwa upande mmoja lakini Tanzania na Somalia nao wako sahihi naona kila nchi itimize wajibu bila kulazimishwa na Wazungu.
 
Uelewa finyu eti wanajibu mapigo, hebu kuwa serious wakati mwingine. Taarifa hizo hapo zinasema wazi kwamba Silverstone Air na Buff Air walipigwa marufuku baada ya ndege zao kusafirisha Mirungi kuingia Somalia na kudanganyana kwamba mizigo yenyewe ilikuwa ni madawa.
 
Ethiopia wawasaidie kuzidungua..wakijifanya vichwa ngumu
Wadungue hata KQ ili ATCL angalau isikike ukanda huu...wamenyamaza Sana Kama wenzao wa Burundi.

Kuna Burundi Airways Mkuu?
Kuna Tanzania Airlines?
😂😂😂
 
Wadungue hata KQ ili ATCL angalau isikike ukanda huu...wamenyamaza Sana Kama wenzao wa Burundi.

Kuna Burundi Airways Mkuu?
Kuna Tanzania Airlines?
😂😂😂
Umeandika kishabiki Sana..
 
Majirani pasua kichwa hawana maana yoyote bora hata wasiwepo!

Mie ni mtz lakini nasema hv, Tz inafanya magumashi kwenye ishu ya korona, ni lazima jirani yoyote makini awe makini!
Usiposema hayo magumashi yanayofanyika,basi maneno yako ndo yatakua magumashi.
Mzee kila siku television zinatangaza namna ya kuchukua tahadhari na kujilinda na corona,radio zinatangaza,magazeti hadi ya udaku yanaandika,makampuni ya simu yanatuma ujumbe wa namna ya kujilinda,we hufuatilii,hutembea hata na kitakasa mikono,huvai barakoa,kutwa nzima wazunguka hata katika mambo yasiyo kuwa ya muhimu,unategemea nini hapo.
Hebu fuata maelekezo unayopewa.
Haya mengine yta vifo na nini hutokea tu kwa sababu hata WHO na wanasayansi wanakiri huu ugonjwa unachanganya akili na bado haueleweki.
Chukua tahadhari unazoelekezwa.
 
watakapochinjana 2022. [emoji44][emoji44][emoji44][emoji119][emoji119][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom