Usiposema hayo magumashi yanayofanyika,basi maneno yako ndo yatakua magumashi.
Mzee kila siku television zinatangaza namna ya kuchukua tahadhari na kujilinda na corona,radio zinatangaza,magazeti hadi ya udaku yanaandika,makampuni ya simu yanatuma ujumbe wa namna ya kujilinda,we hufuatilii,hutembea hata na kitakasa mikono,huvai barakoa,kutwa nzima wazunguka hata katika mambo yasiyo kuwa ya muhimu,unategemea nini hapo.
Hebu fuata maelekezo unayopewa.
Haya mengine yta vifo na nini hutokea tu kwa sababu hata WHO na wanasayansi wanakiri huu ugonjwa unachanganya akili na bado haueleweki.
Chukua tahadhari unazoelekezwa.