Corona: Somalia nayo yajibu mapigo, yafuta vibali vya baadhi ya ndege za Kenya kuingia Somalia

Majirani pasua kichwa hawana maana yoyote bora hata wasiwepo!

Mie ni mtz lakini nasema hv, Tz inafanya magumashi kwenye ishu ya korona, ni lazima jirani yoyote makini awe makini!
Kwan una ndugu yako yeyote aliepatwa na korona au jirani
 
Siyo mtz Huyo...Ni imposter
 
Majirani pasua kichwa hawana maana yoyote bora hata wasiwepo!

Mie ni mtz lakini nasema hv, Tz inafanya magumashi kwenye ishu ya korona, ni lazima jirani yoyote makini awe makini!
Ndiyo maana unawapenda wazazi wa marafiki zako zaidi ya wazazi wako.
 
ha ha ha... LDC nations threatening us now???
Middle income ana ndege ambazo kazi yake kubwa ni kusambaza mirungi, ni aheri muanze kama taifa kuuza cocaine ili mpate pesa za kutosha.
 
inajijua yenyewe namna ilivyoingia...kawaulize vzr wanaokutuma.
Huna tofauti na Mwanamke Malaya aliyeolewa tena kwa ndoa,lakini kwa Umalaya wake bado anatamani amiliki Dushelele za waume wa majirani zake mwisho wa siku wanampasua kizazi.Ndiyo wewe bwege.Hamia kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…