Unaandika kiuchungu sana [emoji23]
Shida ni njaa au ni stress [emoji23]
Unaandika kiuchungu sana [emoji23]Ukweli ndio huo kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chukua rohoni upone[emoji23][emoji23][emoji23], usiogope utakua salama tu[emoji123][emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, thank you my brother from slums state & Failed state.What percentage?., nyie mnaongoza kwa umasikini wa kutupwa (extreme poverty), sasa na hii corona mtakua vipi? It will worsen! Ni neema ya mwenyezi Mungu itawaweka, kama unaelewa hilo, la sivyo you remain a dead state. Pray to God bro, pray.
Sent using Jamii Forums mobile app
si ndio maana nikashangaa wewe ni jobless hapo CBD lini unahusika na mambo ya border??Mimi usinililie juu sikuwafukuza hao madereva.
Heri niwe jobless lakini nisitafune fellow human being.si ndio maana nikashangaa wewe ni jobless hapo CBD lini unahusika na mambo ya border??
Halafu cha ajabu hiyo Burundi unayoidharau kuna watu wenye maisha mazuri kuliko ukoo wenu wote [emoji23]Sisi kazi yetu ni kuwaonyesha kidole cha kati. Your government is afraid of Kenya enye hata kuretaliate imeshinda Kinjeketile Ngwale. You can joke with Burundi but not Kenya.
Burundi ndio inafuata Tanzania kwa umaskini. Ujinga pia ni Tanzania ndio inalead then followed closely by Burundi. Sorcery Tanzania has no competitor, they are position one worldwide by 93%.Halafu cha ajabu hiyo Burundi unayoidharau kuna watu wenye maisha mazuri kuliko ukoo wenu wote [emoji23]
Madereva wenu kila siku wanakutwa na corona kule UG ila unajifanya huoni eti uko busy kumfuatilia JPM anafanya nini [emoji23]
Kama nilivyo andika, Burundi kuna watu wana maisha mazuri kuliko ukoo wenu wote [emoji23]Burundi ndio inafuata Tanzania kwa umaskini. Ujinga pia ni Tanzania ndio inalead then followed closely by Burundi. Sorcery Tanzania has no competitor, they are position one worldwide by 93%.
Alisikika mama wa taifa la kenya..Heri niwe jobless lakini nisitafune fellow human being.
😄 😄 😄 Sina sayroho nyeupe au isiyo na kitu ni makazi mapya ya shetani.
Huyu ni mama wataifa huko Kenya msimsumbue mabaharia 😂😂😂😂Sisi kazi yetu ni kuwaonyesha kidole cha kati. Your government is afraid of Kenya enye hata kuretaliate imeshinda Kinjeketile Ngwale. You can joke with Burundi but not Kenya.
Unapoteza nguvu nyingi kuongea na hawa walevi Mkuu.Halafu cha ajabu hiyo Burundi unayoidharau kuna watu wenye maisha mazuri kuliko ukoo wenu wote [emoji23]
Madereva wenu kila siku wanakutwa na corona kule UG ila unajifanya huoni eti uko busy kumfuatilia JPM anafanya nini [emoji23]
Tuwapuuze hawa walevi wa changaa.Unapoteza nguvu nyingi kuongea na hawa walevi Mkuu.
And you are happy and proud for 'chasing' away Tanzanians....poor you...when will you grow up?Are you aware that today we have also chased away 12 Tanzanians.
that we don't care about... hizo mtakula tu
Mbn Tz imekaa kimya au ww umeckia wp kiongozi wa Tz anaongelea kenya? Nyie mna hofu na roho mby dhidi ya Tz thus y mnapaparika, mnaweweseka hamtulii kuanzia raisi wenu mpk mkenya kapuku km ww, hamlali kisa Tz [emoji3][emoji3]Sisi kazi yetu ni kuwaonyesha kidole cha kati. Your government is afraid of Kenya enye hata kuretaliate imeshinda Kinjeketile Ngwale. You can joke with Burundi but not Kenya.
Mbn Tz imekaa kimya au ww umeckia wp kiongozi wa Tz anaongelea kenya? Nyie mna hofu na roho mby dhidi ya Tz thus y mnapaparika, mnaweweseka hamtulii kuanzia raisi wenu mpk mkenya kapuku km ww, hamlali kisa Tz [emoji3][emoji3]
Heheheheheeee hii covid imekuja patamu kweli kweli, mwenye msuli tutamuona tu, mana hii ngoma inawezekana tukawa nayo mwaka wote huu ss tutaona tu nani ni middle Income na nani ni ldc, hapa hakuna huruma ya Google kitu uhalisia [emoji3][emoji3][emoji3]