Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

What percentage?., nyie mnaongoza kwa umasikini wa kutupwa (extreme poverty), sasa na hii corona mtakua vipi? It will worsen! Ni neema ya mwenyezi Mungu itawaweka, kama unaelewa hilo, la sivyo you remain a dead state. Pray to God bro, pray.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, thank you my brother from slums state & Failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi kazi yetu ni kuwaonyesha kidole cha kati. Your government is afraid of Kenya enye hata kuretaliate imeshinda Kinjeketile Ngwale. You can joke with Burundi but not Kenya.
Halafu cha ajabu hiyo Burundi unayoidharau kuna watu wenye maisha mazuri kuliko ukoo wenu wote [emoji23]

Madereva wenu kila siku wanakutwa na corona kule UG ila unajifanya huoni eti uko busy kumfuatilia JPM anafanya nini [emoji23]
 
Burundi ndio inafuata Tanzania kwa umaskini. Ujinga pia ni Tanzania ndio inalead then followed closely by Burundi. Sorcery Tanzania has no competitor, they are position one worldwide by 93%.
 
Kama nilivyo andika, Burundi kuna watu wana maisha mazuri kuliko ukoo wenu wote [emoji23]

Chuki na makasiriko yako baki nazo huko huko.
 
Halafu cha ajabu hiyo Burundi unayoidharau kuna watu wenye maisha mazuri kuliko ukoo wenu wote [emoji23]

Madereva wenu kila siku wanakutwa na corona kule UG ila unajifanya huoni eti uko busy kumfuatilia JPM anafanya nini [emoji23]
Unapoteza nguvu nyingi kuongea na hawa walevi Mkuu.
 
This is Africa
IMG-20200517-WA0089.jpg
IMG-20200517-WA0088.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi kazi yetu ni kuwaonyesha kidole cha kati. Your government is afraid of Kenya enye hata kuretaliate imeshinda Kinjeketile Ngwale. You can joke with Burundi but not Kenya.
Mbn Tz imekaa kimya au ww umeckia wp kiongozi wa Tz anaongelea kenya? Nyie mna hofu na roho mby dhidi ya Tz thus y mnapaparika, mnaweweseka hamtulii kuanzia raisi wenu mpk mkenya kapuku km ww, hamlali kisa Tz [emoji3][emoji3]
 
Hivi kwanini wakenya wanapenda kuifatilia Tanzania na sio Uganda

Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheheheeee hii covid imekuja patamu kweli kweli, mwenye msuli tutamuona tu, mana hii ngoma inawezekana tukawa nayo mwaka wote huu ss tutaona tu nani ni middle Income na nani ni ldc, hapa hakuna huruma ya Google kitu uhalisia [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom