joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wanakimbizana ili waongoze, kwani huwajui?
Wakenya mna wivu sana na TzSerikali ya mapinduzi Zanzibar imetangaza kupata wagonjwa 2 wenye maambukizi ya Corona, hivyo kufanya jumla ya wagonjwa visiwani humo kufikia 7 hivyo jumla ya wagonjwa Tanzania kufikia 22.
Hii ni list ya maambukizi katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki hadi kufika SAA moja usiku Leo.
1) Kenya 142
2)Rwanda 102
3)Uganda 48
4)Tanzania 22
5)Burundi. 3
6)South Sudan 0
Mapambano yanaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuendelee kupiga maombina unaambiwa wagonjwa wametokea tanga inamaanisha ugonjwa uko mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ya mapinduzi Zanzibar imetangaza kupata wagonjwa 2 wenye maambukizi ya Corona, hivyo kufanya jumla ya wagonjwa visiwani humo kufikia 7 hivyo jumla ya wagonjwa Tanzania kufikia 22.
Hii ni list ya maambukizi katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki hadi kufika SAA moja usiku Leo.
1) Kenya 142
2)Rwanda 102
3)Uganda 48
4)Tanzania 22
5)Burundi. 3
6)South Sudan 0
Mapambano yanaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ushindi ni lazima!Serikali ya mapinduzi Zanzibar imetangaza kupata wagonjwa 2 wenye maambukizi ya Corona, hivyo kufanya jumla ya wagonjwa visiwani humo kufikia 7 hivyo jumla ya wagonjwa Tanzania kufikia 22.
Hii ni list ya maambukizi katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki hadi kufika SAA moja usiku Leo.
1) Kenya 142
2)Rwanda 102
3)Uganda 48
4)Tanzania 22
5)Burundi. 3
6)South Sudan 0
Mapambano yanaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima utaje watu wote walioambukizwa hata kama amepona, ndio sababu linatumika neno " maambukizi", kumbuka kila mtu mmoja mwenye maambukizi nyuma yake kuna watu watano, kwahiyo ukitaja idadi ya maambukizi hata kama amepona, maana yake unazidisha kwa tano ili kupata " possible number of infections in the country ".
Hapo ndio penye kutia shaka, ukishaanza kuwa na " local infection" lazima utangaze " lockdown" hata kama ni " partial ".na unaambiwa wagonjwa wametokea tanga inamaanisha ugonjwa uko mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta jinsi ya kujiliwaza sio?.South Sudan 0![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani kadri nchi inavyokuwa juu kimasikini ndivyo maambukizi yanavyokuwa chini!