NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
How come the poorest countries have the smallest numbers? I smell a rat. I think some countries don't have the capacity to test many people hence cases are being grossly underreported.Serikali ya mapinduzi Zanzibar imetangaza kupata wagonjwa 2 wenye maambukizi ya Corona, hivyo kufanya jumla ya wagonjwa visiwani humo kufikia 7 hivyo jumla ya wagonjwa Tanzania kufikia 22.
Hii ni list ya maambukizi katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki hadi kufika SAA moja usiku Leo.
1) Kenya 142
2)Rwanda 102
3)Uganda 48
4)Tanzania 22
5)Burundi. 3
6)South Sudan 0
Mapambano yanaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ya mapinduzi Zanzibar imetangaza kupata wagonjwa 2 wenye maambukizi ya Corona, hivyo kufanya jumla ya wagonjwa visiwani humo kufikia 7 hivyo jumla ya wagonjwa Tanzania kufikia 22.
Hii ni list ya maambukizi katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki hadi kufika SAA moja usiku Leo.
1) Kenya 142
2)Rwanda 102
3)Uganda 48
4)Tanzania 22
5)Burundi. 3
6)South Sudan 0
Mapambano yanaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, that is how failed mind think when it fails to find solutions for its problems.How come the poorest countries have the smallest numbers? I smell a rat. I think some countries don't have the capacity to test many people hence cases are being grossly underreported.
Kenya wanaongozaKenya c ndio wanaotuongoza kwa kilakitu ndio maana hata korona wanaongoza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushoga mnaongozaKenya wanaongoza
1)Ukabila
2)Rushwa
3)Ukosefu wa ajira
4)Corona
5)Njaa
6)Locust
7)Madeni
8)Slums
9)Crime
10)Police brutality
Sent using Jamii Forums mobile app
Anyone who thinks Spain is among the poorest countries in Europe needs to go back to school. I'm not wasting my time arguing with him.Hahahaha, that is how failed mind think when it fails to find solutions for its problems.
Look here; in Europe Spain is among the poorest Nation. Japan is the 3rd richest Nation, but has the lowest number.
Do not look for excuses the same way you used when you failed to fight tribalism and Corruption.
Sent using Jamii Forums mobile app
How come the poorest countries have the smallest numbers? I smell a rat. I think some countries don't have the capacity to test many people hence cases are being grossly underreported.
They dont have logicIn which case, by now we could have had unbelievable numbers of sick people in our medical facilities, right? a very simple exercise in logic.
You cant hide such a disease.